SOCCER: Wabunge vs Wawakilishi kuzomewa kwa posho zao

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
20,690
20,450
Watu wamepania kuwazomea wabunge kwa kujipandishia posho kwa kiwango kikubwa! Pia wawakilishi watazomewa kwa kuvaa jezi za udhamini wa pombe huku wakivizuia vilabu vyao Zanzibar kudhaminiwa na pombe! Tusubiri muda kama hawa wapenzi wa soka watatimiza kile walichopania
 
Back
Top Bottom