Linapokuja suala la fashion, hakuna taifa linaloipiku Italia kwenye ubunifu wa mavazi. Kidogo Mfaransa anajitahidi ila Muitaliano ni habari nyingine kabisa. Huko ndiyo wanapotoka kina Armani...
Ni kawaida ya Chama mkataba unapokaribia kuisha huongeza sana juhudi ya mazoezi. Na hili jambo kwa kweli humbadilisha Chama na kumfanya mpambanaji sana uwanjani.
Ila tena matches ngumu zikianza...
Taarifa za kikachero( zandaaaani sheikh)[emoji23][emoji23] zinadai Makolo walitaka kumaliza mechi nje ya uwanja[emoji23][emoji23] CAF washtukia
Bora kwasababu taarifa za chinichini zisizo rasmi...
TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 16.06.2017
*Chelsea kunafukuta?
*Real ‘wakomaa’ na Morata
*Giroud kufanywa ‘chambo’
*Ronaldo kuodoka Spain
Kuna ‘hali ya mvutano’ kati ya meneja wa Chelsea Antonio...
Kuna watu wanafurahia na kusema kuwa Simba ina mashabiki wengi sana South Afrika kuliko Stellenbosch; hivyo kuwa kama sababu ya Simba kufanya vizuri kule dhidi ya Stelle
Simba walifanya vitu...
Inasikitisha.
Tupo nyumbani kwenye mechi ya nusu fainali ambayo tunahitaji matokeo ya goli kuanzia 2 kwenda juu alafu kocha anaanza na viungo wakabaji na sio wakabaji tu ila pia wenye mentality...
Katika pitapita zangu huko mitandaoni, nimekutana na mijadala fulani kuhusiana na mipango inayosukwa ya usajili wa Yanga kuelekea msimu wa 2025-2026.
Pamoja na kwamba niliapa kuacha kuongelea...
Asubuhi asubuhi nadondosha uzi.
Ebwana wasouth wana dharau sana kwa waafrika wenzao. Yaani hawa jamaa tumewapigania na tuliwapa hadi hifadhi lakini leo wanatuona waafrika wenzao kama nyani na...
Imekuwa kawaida Kila Yanga ikishinda lazima wachezaji walaumiwe.....Baada ya Simba kukandwa heavily 5...1 makolo walimlaumu manura, Baada ya marudiano na Simba kukandwa 1...0 Alidaka camara (...
Hukumu ya shauri la Liston Katabazi dhidi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliyokuwa itolewe tarehe ya hukumu ya shauri hilo Aprili 23, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam...
SIWATISHI
HALI YA SASA ILIYOPO
VIJA A WAMEJIPANGA...NA MOJA YA SILAHA WANAYOENDA KUWANYOOSHA SIMBA N PENALTY AMA VIA REDKADI
WACHEZE KWA HESHIMA SANA NA NIDHAMU
WASIJISAHAU WAKAJUA WAKO UWANJA...
Ahoua kazi yake ni mcheza mpira,anajua kabisa kufunga goli kwake ni Pesa ,utajiri na maisha mazuri.
Anajua kabisa akifunga goli hasa katika michuano hii ya CAF atazawadiwa fedha nyingi, fedha za...
Wadau nchi hii ina sanaa nyingi sana. Kimsingi hamna uongozi wa kujenga taasisi imara badala yake mna kikundi cha watu wanaowekeza kwenye siasa ya kubaki madarakani.
Imebainika kwamba wakati...
Kuna huu upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusiana na uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kuipa tafu klabu ya Simba katika mechi yake ya pili dhidi ya Stellenbosch huko Durban, South Africa...
KILA LA KHERI MPAKQ SASA MKEKA UNAOSMA HIVYO
SIO KWA NIA MBAYA NAWATAKIA HERI KAMA MTANXANIA SIMBA SC
HT WATABANA DRW
FT WATALEGEZWA KAMA.MLENDA
HAPO NAFIKIRIAA KAZI IENDELEE...
Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha...
Tulisubiri miezi ....wiki ...siku hatimaye siku ya kiama imefika .....ni siku ya Simba kutolewa kwenye michuano dhaifu ( loser cup) ubora wa kikosi Cha Simba hauwezi kuamua mechi Leo ....ni lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.