Your honor, this notice takes into account a letter dated 21stFebruary 2022 that our client (unknown) addressed you and before that our client also addressed two letters to National Sports Council...
Nakuletea Utabiri Ambao Nitauchambua kwa kutumia number vibration (Numerology) na Pia Some of the astrological Effects Za siku hiyo..
Ambavyo Vyote vinaonyesha Simba Anaweza Kufuzu Aidha kwa...
Kuna wachambuzi na baadhi ya wajinga ikiwa ni pamoja na coach wake Matano aliyemtupia lawama baada ya kufungwa goal 2
Goal keeper Nobo amefanya saves 4 kubwa na kuinusuru timu yake ila analaumiwa...
Binadamu tumeumbwa kusahau. Nikikumbuka majigambo ya baadhi ya timu mwanzoni mwa msimu huu, nabaki kusema acheni Mungu aitwe Mungu.
Zilitungwa nyimbo za "Uto hii unaifungaje", wakaapa hata waje...
Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu...
Habari za jioni wakulungwa.
Naleta habari hii usiku huu, nikiwa nimefuatilia ahadi za huyu mzee wetu kipindi hiki timu inatafuta namna ya kufuzu nusu fainal na kuitafuta fainali,
kwa jicho la...
Kipa wa Fountaine Gate, John Noble aliyedaka leo dhidi ya Yanga anadaiwa kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo baada ya kufanya makosa mawili ya wazi yaliyopelekea kuwapa Yanga magoli mawili.
Nitarudi...
Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa...
Timu za ligi kuu zicheze zenyewe kwa zenyewe mpaka pale itakapobaki timu moja ambayo itaenda kukutana fainali na ile moja ya ligi Daraja la chini ambayo pia imeingia fainali baada ya kucheza na...
Rasmi Kengold inakuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu baada ya kipigo cha 2 - 1 leo Dhidi ya Wanamangushi Coastal Union.
Mpka sasa Kengold ipo nafasi ya 16 na alama zao 16 katika msimamo...
Daa! Leo napumzika rasmi kubeti. Sababu ni hizi hapa.
1. Tangu nianze kubeti uwiano wangu wa kula na kuliwa ni 1:5.
2. Uhuni ni mwingi, timu zinajifungisha au hazifungi au hazifungani ( match...
MGONJWA wetu pale Anfield yupo hoi bin taabani. Madaktari wamemzunguka na hawajui hata waanzie wapi. Mgonjwa anaumwa kila kitu katika mwili na kinachoshangaza ni kwamba ameumwa ghafla mno...
Mchezaji huyo ambae amedumu kwa muda wa miaka 12, toka enzi za Sir Alex hatimae anaondoka rasmi na kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine.
David De Gea anaondoka baada ya kushindwana na timu...
Ngudu wanajamiiforum wenzangu kuanzia Leo nimeacha kushabia team ya Manchester united sababu haina mikakati madhubuti ya kutawala EPL na kutetea wanyonge ili kuondoa ile Spain domination kwenye...
Hata ufanye nini, ukubwa haujifichi. Kuna timu ilipelekwa huko katikati ya mashamba ya alizeti eti kuzindua uwanja ambao kwanza hauna hata majukwaa na matokeo yake wageni rasmi waliloana tepetepe...
Wakuu Kwema,
Leo Mapema nilikua nimejisajili kwa Hii Kampuni nione labda ina nini Kipya wamekuja nacho tofauti na Makampuni mengine yaliyoko. Nikasuka Mkeka wangu, treni la leo leo odds kama 384...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.