Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari wadau poleni na kazi. Wanasimba wenzangu niwape hongera . Moja kwa moja kwenye mada .Baada ya Simba kufuzu kwenda hatua ya fainali sasa tutaanza kuona nyuzi za watopolo wakimtisha simba...
8 Reactions
9 Replies
639 Views
Mwamnyeto huyu uwezo wake umeshuka sana, limekuwa beki la hovyo mnoo..hili pazia likicheza watu wanafinya mbupu mwanzo mwisho..Lifukuzwe Ikangalombo Wakati mwingine sio lazima timu iwe...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Leta mada mtani mwananchi niko hapa kukuhudumia 24 hours,7 days
0 Reactions
4 Replies
253 Views
Kwenye ligi Arsenal kashaachwa alama 15 na vinara Liverpool. Kwenye Uefa wapo hatua ya 16 bora huku wakiwa na uongozi wa magoli 7 katika mchezo wa kwanza. Naambiwa akivuka hapo atakutana na...
1 Reactions
5 Replies
581 Views
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza. Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri...
15 Reactions
124 Replies
5K Views
HAKUNA POINTI YA KUSHINDANA KATIKA SHINDANO AMBALO UNAJUA HUTASHINDA Yaani unakuwa tu kama msindikizaji, Simba ni timu kubwa sana, yenye pride kubwa, so haiwezi kuendelea kuwa mdindikizaji kila...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo Club ya Simba SC. Wanalunyasi kama wenyewe wanavyopendakutambulishwa,itakapofika saa 1600hrs alasiri huko kwa Mzee Madiba, watakuwa na kazi moja tu, na muhimu ya kuidhihirishia Africa kuwa...
0 Reactions
16 Replies
762 Views
Hongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! 🎉 Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa. Sasa safari yenu ya...
16 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa. Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii...
45 Reactions
2K Replies
108K Views
Wewe ni nguli wa kufatilia soka, twende kazi. Ni mchezaji gani amecheza na wachezaji hawa kwa nyakati tofauti, iwe kwenye vilabu au timu ya taifa. Mchezaji gani huyo kacheza na Messi, Cristiano...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Pamoja na mambo mengine kinachoikwamisha Azam ni kukosa mashabiki. Stella wakiwa ugenini ni wakali kuliko kwao Kule kwao hawana mashabiki kabisa kama Azam Simba itakuwa kama iko kwa Mkapa tu...
11 Reactions
55 Replies
2K Views
Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted. Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
11 Reactions
73 Replies
4K Views
Mchezo wa mpira bwana una matukio ya ajabu, mtu kapigwa chenga mpaka kalala chini. Ipatie jina hii chenga.
1 Reactions
3 Replies
478 Views
Wadau naomba mnifahamishe kama mechi hii ya Chad Vs Tanzania itakayofanyika tarehe 11/11/2011 kama itarushwa moja kwa moja na kituo chochote cha televisheni hapa Tanzania kwa sababu...
0 Reactions
716 Replies
169K Views
KVZ FC 0 - 0 Yanga SC | Robo Fainali ya Kombe la Muungano | Aprili 26, 2025
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Tanzania imetwaa ubingwa wa wavulana katika mashindano ya CAF Schools Football Championship baada ya kuifunga Senegal katika pambano la kusisimua lililoamuliwa kwa mikwaju ya penalti. Licha ya...
4 Reactions
5 Replies
433 Views
Ligi Kuu ya England Premier League imeendelea leo Aprili 6, 2025, timu ya #Liverpool imepoteza mchezo wake wa pili msimu huu (2024/25) katika Ligi hiyo kwa kukubali kichapo cha Magoli 3-2 kutoka...
3 Reactions
4 Replies
699 Views
Klabu ya Al Ahly imemtimua kocha wake, Marcel Koller siku moja baada ya timu hiyo kutupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Katika taarifa iliyotolewa leo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu mwaka 2026 itajenga Arena kubwa kwaajili ya matamasha ya...
2 Reactions
11 Replies
692 Views
Back
Top Bottom