Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico. Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu, Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto. Ni El clasico nzuri baada...
11 Reactions
249 Replies
14K Views
Huyo Ikangalombo amekuja Yanga kubana nafasi tu za vijana wetu akina Nkane Nkane ni mzuri zaidi ya Ikangalombo Nkane ana skills za football Nkane ana speed Nkane ana akili Anajua ku cut in...
1 Reactions
5 Replies
444 Views
Mnamo mwaka 1962 Benfica iliwaadhibu klabu kongwe na mabingwa wakihistoria ktk mashindano ya ulaya Real Madrid kwa mabao 5;3 huku real Madrid ikiongozwa na mastaa kama Alfredo Di'stefano,Puskas...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwanini Yanga wajivunie fiston Mayele Kuanzia hatua za awali Fiston Mayele kawafungia magoli 8 Pyramids katika michuano hii ya Caf. Mayele aling'alishwa nyota yake alipokuwa Yanga kiasi Kwamba...
9 Reactions
40 Replies
2K Views
27/04 - Bondeni 02/05 - Mashujaa 05/05 - JKT 08/05 - Pamba 11/05 - KMC 14/05 - Singida BS 16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo 😀) 17/05 -...
14 Reactions
26 Replies
2K Views
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa! Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza...
9 Reactions
153 Replies
22K Views
Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban. Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final. Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale...
6 Reactions
8 Replies
608 Views
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno, Simba...
31 Reactions
63 Replies
6K Views
Mechi kali ya mkondo wa kwanza Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika inapigwa leo, ambapo Mnyama Simba SC anawakaribisha Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini, katika dimba la Amaan, Visiwani...
23 Reactions
708 Replies
39K Views
Yuko wapi huyo jamaa? Tomas Ulimwengu
2 Reactions
13 Replies
1K Views
KMC imepeleka match yao ya mkondo wa pili zidi ya Simba utakaochezwa tarehe 11 May kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora.
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua mashuti yasiyokuwa na malengo wakifika...
5 Reactions
63 Replies
5K Views
Msimu ujao viongozi wasifanye huu mzaha tena wa sajili za ajabu hadi tunakosa kung'aa kimataifa
11 Reactions
34 Replies
1K Views
Historia ya Mpira wa Soka (Football) Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mechi ya marudiano kati ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Dakika ya 8 bado milango migumu pande zote mbili Mamelodi wamekosa nafasi ya wazi kabisa.
5 Reactions
230 Replies
11K Views
Kama kawaida baada ya timu yao pendwa kutolewa wataona umuhimu wa kuifuta hiyo sheria
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Linapokuja suala la fashion, hakuna taifa linaloipiku Italia kwenye ubunifu wa mavazi. Kidogo Mfaransa anajitahidi ila Muitaliano ni habari nyingine kabisa. Huko ndiyo wanapotoka kina Armani...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom