Stellenbosch hawana mbambamba wanataka watu wajae uwanjani.
Kiingilio mchezo wao dhidi ya Simba ni Buku Nne Mia Tano ya pesa madafu.
Mchezo huo utapigwa katika dimba bora la kisasa la Moses...
Simba imekuwa club ya kujipendekeza sana kwa serikali kama vile ni mali ya serikali. Walikuwa wavaa Visit Tanzania bure kabisa bila malipo, tofauti na wenzao Yanga. Wenzao wakapewa ndege mwaka...
Moja ya makocha ambao wakimuona mchezaji kwenye mazoezi hata siku moja tu wanajua ana weakness na strength zipo Ni kocha Don Carlo ,chini ya Carlo wamepita wachezaji wengi walioenda kubeba Ballon...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa...
Leo chisano jr,gift choni omulangira,che lutengano nazareth upete kuhusu udhaifu wa tff na bodi ya ligi mujarabu kwelikweli,hawa jamaa wamemaliza kitu,yanga mechi na simba hawachezi,labda kama...
Wadau na wapenzi wa mpira!
Niiombe TFF fanyeni kazi kwa misingi ya sheria na kanuni!
Ikibaninika na ushahidi ukapatikana aliyeusika kutoa na kupokea wapigwe Ban katika soka letu! Kwani hawa...
Kila nikifikiria terms and conditions za Mkataba wa ndugu zetu makolo moyo unaingia ubaridi Kwa mambo yafuatayo
Mdhamini kaingia Mkataba wa jezi 38 billion Kwa miaka mi 5 ....then mumpe...
Nimeona kuna mjadala mkali unaendelea mitandaoni kuhusiana na baadhi ya mashabiki wa Simba kuamini kuwa Simba haipati matokeo mazuri pale mechi zake zinapotangazwa na mtangazaji wa Azam TV, Gharib...
Miongoni mwa Dery yenye mvuto africa The Watani wa Jadi Derby hakukutokea Bahati mbaya, kama zilivyo Derby nyingine duniani Derby huwa na visababishi. Kwamfano El clasico Hii derby imesababishwa...
Wakuu hapo siku za nyuma makolo wali hack mfumo wangu wa utabiri na hivyo kutoa utabiri uliokinyume na matokeo hivyo kusababisha kula ban
Hivyo basi Baada ya kuurekebisha mfumo mfumo wangu wa...
Hatua zichukuliwe za haraka kuliokoa soka letu..jana kocha wa fountain gate kaweka kila kitu wazi kuhusu kipa wao vipi kuhusu marefa nao wenye kufumbia macho haya...ligi inapoteza heshima leo...
eFootball ni mchezo wa simu unaohusisha mpira wa miguu, na hapa kuna habari muhimu kuhusu mchezo huo:
1-Jina na Kurekebishwa: Mchezo huu awali ulijulikana kama "Pro Evolution Soccer" (PES)...
Afrika nzima, Hakuna Ligi inayosimamishwa kisa michezo ya shirikisho, Hii ni aibu na kuidhalilisha Ligi yetu kwa kuacha viporo kisa timu inashiriki michezo ya shirikisho! Ukijaribu kufuatilia timu...
Mimi nashangaa sana kuona wajinga wajinga wasiotaka kukubali uwezo wa Yanga kiubora, kiufundi, na kiftness!
Leo hii mtu anakurupuka uko ameshiba makande yake anasema kipa wa fountain kauza mechi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.