kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,067
Ndg wapenzi wa michezo na hasa soka pia wasomaji wa gazeti la mwanaspoti, kuna huyu jamaa samson mfalila uwa anatabiri mechi za ligi kuu ya uingereza nahisi kama angekuwa anacheza kamari sasa hivi angekuwa amefilisiwa, ktk timu ninayoishabikia mimi mara zote ameangukia pua! Sijui nyie wadau vipi kwenye timu mnazoshabikia anapatia?