Kwa gamu ya leo, super eagles walistahili kushina na sio bukinabe.
View attachment 82747 View attachment 82748
Kaka umesahau mambo ya Big Brother? Namibia pia tunae shemeji yetu. Sasa sijui mwaka huu atatokea nchi gani? Maanake kitu tunachokipeleka, sio mchezo?
haha haa nilikuwa sijakusoma mkuu. Kumbe ni shem zetu kulee kwenye bba lol.
Kitu cha mwaka huu ni kipi hicho....w....ma, au?
yaaah! Huyo huyo, ni mwanamke ambae, hana majivuno, hana chuki, ana mvuto wa mapenzi na pesa, watu wengi wanapata mafanikio ya kimaisha yao kupitia jina lake na nyota yake.
All what you hear about her, is not of her own making. She just living normal life but watu hawataki kumuona yuko na mambo yake.
The only weapon to whip these people my sister, is to continue winning in you life without them.