iv kwann sis waganiwamwishotu kila sku?mashndano ya B.BALL 5ZONE ki2 2nashka nafasi ya saba kat ya mataifa sabaa also wanawake washka mkia nafas ya 6 kat ya timu 6..OMG.!
In a tournament which has seen the prevalence of the 4-2-3-1 formation, it is quite interesting and also something to marvel at that Cape Verde, one of the underdogs of the tournament, managed to...
DRC wamemaliza safari yao ya AFCON 2013 kwa sare tatu za Ghana,Niger na Mali. Katika mchezo wao uliokwisha hivi punde,wametoka sare ya 1-1 na Mali hivyo kufikisha alama 3 ambazo hazitoshi...
Celtic's Neil Lennon has valued Victor Wanyama at £25m after it was confirmed that the Kenya midfielder has rejected the offer of a new contract. But the manager insists that Celtic are "under no...
Sasa ni dakika ya 14 kipindi cha kwanza,Barcelona wameshapata bao moja lililofungwa na Lionel Messi mnamo dakika ya 11. Jioni ya leo,Real Madrid wameshinda mabao 4-0 dhidi ya Getafe huku Cristiano...
Saturday, Jan 26 2013 6PM 53°F 9PM 55°F 5-Day Forecast
Eight die in riots after Egyptian court sentences 21 to death for football violence which killed 74 fans
Families of those sentenced...
Mtazamo wangu safari hii naona mashindano ya kombe la mataifa ya africa 2013 ladha yake imepungua kabisa,tofaut na ile ya miaka ya nyuma ambapo 2liona ladha saf ya soka toka ha2a za awal had...
Kuna wana JF wanajiuliza wageni wa Clouds FM [Black Leopards] ni wangapi katika ligi ya huko kwao, angalia hapa chini!
Absa Premiership 2012/13
Pos
Team
Pld
W
D
L
GF
GA
GD
Pts
1
Kaizer...
Na Dina IsmailKAMATI ya Utendaji ya Simba imepitia na kuidhinisha majina ya Wajumbe wa Kamati mbalimbali za klabu lengo likiwa kuiboresha klabu na pia kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya...
Katika kipindi cha jambo tanzania cHa TBC1 25/1/2013. Marin Hasan mtangazaji wa kipindi hiko akichangia picha inayomwonesha rais kikwete,Sef Bletter wakiwa na rais wa TFF;Leodger Chilla Tenga...
salam wakubwa.
Nimeanza na Ruge kwa kuwa ndiye meneja wa suala hili. Ni juu ya yeye na timu yake ya clouds fm, kuwaleta Black Leopard ya Africa Kusini.
Baada ya timu hiyo kucheza DSM, ikafungwa...
Wakiwa kule concentration yao ilikuwa kwenye shughuli ya namna hii (Taarabu).
Wakaua siku kadhaa za mazoezi kuingia mtaani kufungasha mizigo ya kurudi nayo Tz.
Huyu naye ametia fora....hivi...
Wadau mzima wote??
Hivi mwenzenu hapa ndo panaponichanganya sana....wakati wenzetu wanzungu katika mechi zao wanafungana magoli kibao tena kwa mbwembwe za kufa mtu na mpira wa kasi...Sisi huku...
Hapa nchini pana wanaojiita wataalam wa soka kwa kuangalia sana DSTV (super sport) na kujifanya wako juu ya wataalamu wa soka wa FIFA kwa kuikosoa timu yake ya 2012 kwa kutochagua tu wachezaji...