Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Waliokuwa mabingwa wa Tanzania, Wachezea Libolo, Simba SC wako uwanjani kumenyana na Polisi Morogoro. Hadi mapumziko Simba 1-1 Polisi Morogoro.
Dakika 2 ya kipindi cha 2 Ngassa katupia bao hivyo Simba 2-1 Polisi Morogoro.
Dakika 2 ya kipindi cha 2 Ngassa katupia bao hivyo Simba 2-1 Polisi Morogoro.