Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,239
Salaamu kwenu wale wenzangu wapenzi wa masumbwi au ndondi!
Pambano: Trevor Berbick Vs Mike (Iron) Tyson
Pamoja na mapambano kadhaa ya kuvutia yaliyowahi kuchezwa ktk sayari hii, binafsi navutiwa sana na pambano hili; na sichoki kurudia tena na tena kuangalia mpambano huu wa kukata na shoka!
Ikumbukwe kuwa pambano hili lilichezwa miongo kadhaa iliyopita kule Las Vegas, Nevada, Marekani ktk ukumbi maarufu wa Hilton.
Mtakumbuka kuwa ktk pambano hili, Tyson alimchakaza vibaya mno Mjamaika mwenye miraba minne, Trevor Berbick ktk roundi ya pili, dk 2:35; na kubeba ubingwa wa dunia kwa mara ya kwanza huku akivunja rekodi ya WBC kuwa kijana wa miaka 20 kutwaa ubingwa huo akimpiku Floyd Patterson.
Pole sana Trevor Berbick!
Mwenyezi Alaze Pema Peponi (APEPE) roho yako!
Ebu tujikumbushe mpambano huu maarufu kama: THE JUDGEMENT DAY

Last edited by a moderator: