Karibu lewandosky man utd

Karibu lewandosky man utd

MeNaco.com

Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
94
Reaction score
4
Robert Lewandowsky yupo tayari kujiunga na MAN UTD na kukacha Bayern. Ni habari njema kwetu mashabiki w the Red Devils.

Kwa mujibu wa habari za daily star zimekariri vyombo vya habari vya ujerumani kuwà tayari MAN UTD wameweka dau la £34.

na kwa mujibu wa agent wake ni kwamba tayari wameshamalizana na timu ambayo atahami mteja wake(japo hakutaja moja kwa moja kuwa ni MAN UTD)

**GGMU*
 
Dortmund au bayern??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huu ni upuuzi. Wenzenu wapo katika harakati za kushinda gemu yao ya marudiano ili waingie fainali na baadae kuchukua ubingwa, wao wanaanza interruption za kumgombania mchezaji. Hii si sawa kabisa. Ni vema wangesubiri jamaa wamalize mtihani uliopo mbele yao ndipo waanze hayo mambo ya kumgombania. Kama angekuwa Fergie ndiyo amefanyiwa hivyo nadhani angeporomosha ma serukamba kibao.

Imefika wakati sasa klabu kubwa kujenga utamaduni wa kukuza vipaji badala ya kubomoa timu za wenzao ambao wametumia muda mrefu kuzijenga.
 
Back
Top Bottom