Tupeni updates za mechi ya simba na polisi morogoro mlioko uwanjani.
Arsenal tunashinda leo.
Walcot keshatupia tayari.mnashinda na njaa.??
Walcot keshatupia tayari.
Tumewashika man u.hongera ila kama kaotea vile.!!!
Tumewashika man u.
Hata kama ni offside maadam refa na msaidizi wake hawakuona, ni goli hilo. Wenger anazingua sana unaweza kushuhudia akauza tena wachezaji tegemeo mwisho wa msimu.RVP anatowa Pasi anafikiria yupo Arsenal bado Goli la Walcolt ni offside! Ila Arsenal kama Wenger angembakisha Song na RVP na kununua beki au Middle yengine yakukaba wangekuwa hata mabingwa pengine Sir Alex anaakili yakuona alipungukiwa magoli so RVP na Carrick wameinyanyulia United ubingwa hata RVP angeangukia pia CITY pia pengine wangekuwa mabingwa. Hii Game United hawana njaa ya kushinda itaisha 3-1 pengine.
Hahahaah! Kweli mkuu unaweza kushangaa tukapigwa.mapema mno hamuaminiki nyinyi.!!
Hahahaah! Kweli mkuu unaweza kushangaa tukapigwa.
hongera ila kama kaotea vile.!!!
inaweza kuwa siku yenu, kiasi mnaonyesha kasi nzuri.!!