Media zetu mbona hili linawashinda?

Media zetu mbona hili linawashinda?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Katika vipindi vya michezo na hasa katika mechi za soka vyombo vyetu vya habari (radio na TV) hili wameshindwa ku'copy and paste' toka DSTV! Habari na mitindo mingi ni hodari wa kufanya hivo ila hapo tu wanakuwa wagumu sijiu kwa nini. DSTV huwa wanawaalika wachezaji (maarufu) katika vipindi vyao vya michezo lakini sisi ni watangazaji pekee ndio wanajifanya kujua kila kitu. Clouds FM wakati mwingine humwalika Ali Mayai Tembele na achangiapo unapata msisimko wa kile alichosema.
Ombi langu, wahenga walisema upendapo boga penda na jani lake!
 
Back
Top Bottom