Luis Suarez vs Gareth Bale - Nani kuwa mchezaji BORA wa EPL msimu huu?

Luis Suarez vs Gareth Bale - Nani kuwa mchezaji BORA wa EPL msimu huu?

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
1,819
Reaction score
593
mambo yanayofanywa uwanjani na Luis Suarez na Gareth Bale yanatisha. Pia juhudi zao binafsi zimewezesha timu zao ambazo ni underdogs kupata matokeo mazuri.
Je, unadhani NANI ATAIBUKA KIDEDEA? Kwa nini?
 
van Persi anafuatia kwa mbaaaaali. Mchango wake unatengenezwa sana na ubora wa kikosi cha ManU.
 
Ni Suarez ambaye hadi sasa anaongoza kwa ufungaji Uingereza kufuatia hat-trick yake ya leo.Suarez ni moto wa kuote mbali
 
suarez ni mzuri ila ana matatizo ya kujiangusha sana vyenginevyo angelikuwa tayari amepewa jina kubwa barani ulaya
 
...Gareth Bale anaendelea na mauaji ya Arsenal huko white hart lane muda huu.
 
None of them

...jaribu kuweka ushabiki pembeni. Angalia uchezaji wa kila mchezaji.

Chati yangu ina 10 Bora hadi sasa kama ifuatavyo:

1. Gareth Bale
2. Luis Suarez
3. Robin Van persiea
4. Santi Carzola
5. Leighton Baines
6. Juan Matta
7. Demba Ba
8. Yohan Cabaye
9. Steven Gerard
10. Marouane Fellaini
 
Cazola, Baines, Ba na Cabaye ni wachezaji wazuri lakini hawana sifa za kuwa wachezaji bora
 
...jaribu kuweka ushabiki pembeni. Angalia uchezaji wa kila mchezaji.


Chati yangu ina 10 Bora hadi sasa kama ifuatavyo:

1. Gareth Bale
2. Luis Suarez
3. Robin Van persiea
4. Santi Carzola
5. Leighton Baines
6. Juan Matta
7. Demba Ba
8. Yohan Cabaye
9. Steven Gerard
10. Marouane Fellaini
hiyo ya Epl kwa euro ni Messi Ronald na Suarez chanzo goal.com
 
Suarez kampiga bao Bale. Suarez may be the man, 22 league goals so far.
 
Suarez anaendelea kupepea, Bale on the trail, Van Persie following.
 
.........LIBAGUZI Suarez....leo limeleta mambo ya "Tyson" mpirani.......hili lijamaa halifai kabisa......kule South Africa lilizuia goli la Ghana kwa mikono........Lishenzi sana hili lijamaa....sijui kwanini linachezea Liverpool.........damn!

hata akiwa na magoli mengi asipewe hiyo top prize.......liende kwao Uruguay!
 
Baada ya tukio la leo huyu mpuuzi anaitwa Suarez ajiandae kuhama ligi na hiyo zawadi asahau!
 
kitendo alichofanya Suarez kinaondoa hadhi almost completely, unless FA wafumbe macho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom