Wapenzi wa simba kama nilivyowapa moyo nauliza tena
kuna anaeperform 100 perc kila siku kwenye ndoa KITANDAN?
Kama sio kwa nini wachezaji wa simba?nao ni binadamu
kama kwenye ndoa mnamalizana...
Ndugu zangu wana JAMVI.
Moja ya vigezo vya kuteuliwa kugombea nafasi ya urais TFF ni uzoezi wa kuongoza mpira usiopungua miaka 5.
Naomba mniambie huyu MALINZI huo uzoefu aliupata wapi? Uongozi...
Timu ya Simba imeondoka asubuhi leo saa 10 alfajiri kuelekea Angola kwa mechi ya marudiano dhidi ya wababe wao LIBOLO itakayofanyika Jumapili kwa Mujibu wa vyanzo vinavyoaminika. Kinacho...
Ndugu wadmau wa michezo,mi ni mdau mkubwa wa mpira wa miguu na nimecheza na kuishi sehemu mbalimbali hapa nchini tanzania.
Kuna kitu cha ajabu nilichokikuta na kinachoendelea hapa wilayani...
Nianze kwa kutoa pole kwa wapenzi, mashabiki na wananchama wenzangu wa Simba, kimsingi yaliyotokea jana si mazuri kwa wapenda soka wote duniani kwani hakuna anayejiandaa kupoteza mechi ktk...
Ndugu wadmau wa michezo,mi ni mdau mkubwa wa mpira wa miguu na nimecheza na kuishi sehemu mbalimbali hapa nchini tanzania.
Kuna kitu cha ajabu nilichokikuta na kinachoendelea hapa wilayani...
Arsenal inaingia Dimbani leo kupambana na ngoma ngumu barani Uropa yaani Bayern Munich kutoka Bavaria Ujerumani.
Arsenal ikiwa na kumbukumbu mbaaya zaidi kwa kutolibeba kombe la klabu Bingwa...
Simba yapokewa na libolo tayari kabisa kwa kutawanishwa. Libolo wako fiti kuakikisha simba afurukuti. Mpaka sasa simba wana kichefu chefu kwa kipigo walichokipata. Inasemekena mashabiki wa simba...
Kulingana na habari za leo jumapili katika Magazeti ya Telegraph na The Sun, kikundi cha wawekezaji cha watu wa Mashariki ya mbali kiko mbioni kuweka rekodi ya dunia katika mpira wa miguu kwa...
Azam imesonga mbele Kombe la Shirikisho kwa kuichapa Al Nasri kwa mabao 5-0, huku Simba na Jamhuri ya Pemba zikiogelea vipigo visivyoweza kusahaulika katika michuano ya katika Ligi ya Mabingwa...
Nimefurahi kumuona huyu jamaa hatimaye kwa mara ya kwanza akicheza huu mpira wa Kikapu.
Kaza kiatu Mdogo wetu na hii ndiyo tulikuwa tunakuombea kila siku ufanikiwe.
Ni furaha kukuona Mbongo...
Ni wazi kuwa timu ya simba toka nchini Tanzania ilizidiwa sana kimchezo leo hadi kuzabwa magoli 4 bila ya afadhali. kama mtanzania imeniuma sana lakini nimeumia zaidi kusikia kuwa kama ingepita...
Barcelonno imeonekana imekosa sera mpya ndo maana wanafungwa na Real Madrid ambayo inaelekea kufuta uteja toka kwa mahasimu wao kwani wameonekana wanamtagemea sana lionel messi ambaye...