Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Japan imekuwa nchi ya kwanza katika Kanda ya Asia na dunia kwa ujumla kufuzu kwa Mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yatakayofanyika mwakani nchini Brazil. Japan ilifuzu kufuatia sare yake ya jana ya 1-1 dhidi ya Australia. Bao la mshambuliaji anayeongoza kwa mabao katika kanda hiyo,Honda la dakika ya 90 lilitosha kuipeleka Japan Kombe la Dunia.Bao hilo lilikuwa la mkwaju wa penati. Hongera kwa Japan,funzo kwa Taifa Stars...