Na hakuna matumaini ya kushinda, ever !
Na hakuna matumaini ya kushinda, ever !
Ha ha ha ha ha ha
Ukiwa mshabiki wa Aseno, unaandikiwa na valium mtaani.
Mie nashangaa, ushabiki wa timu sio dini, si wahame tu?
Sasa nyie mnatafuta ugomvi hivi hivi. Mie sipo.
Nyoosheni kidole kunako tuu inatosha.
Labda niulize tu swali la msingi: Kwa nini mijadala hii haiwahusu Man City, Fulham, Newcastle, Tottenham n.k badala yake ni Arsenal haijawahi Arsenal haijawahi?
Nijuavyo mimi, Simba akilala akapita panya mbele yake hufumbua jicho moja tu akaendelea na usingizi wake, lkn hili la kumfanya Simba aamke, NI KUBWA.
Respect to Arsene Wenger, hata bila msaada wa marefarii amebeba ndoo kadhaa.
Labda niulize tu swali la msingi: Kwa nini mijadala hii haiwahusu Man City, Fulham, Newcastle, Tottenham n.k badala yake ni Arsenal haijawahi Arsenal haijawahi?
Mgomvi aliyeleta hii picha
Ngoja niiprint nipeleke ugomvi mtaani
Msimu ujao hama bana, timu sio mzazi kwamba huwezi badili:shock:
Kumbe unajua haipo level moja na Fulham, that means kuna kinachokufanya uiweke level moja na hizo zingine kwenye picha.Una maana Asenali wako level moja na Fulham eh? Huu sasa ugomvi wa waziwazi. Narudia tena sipo.
Umebug meeen! Arsenal haiko level moja na Man U, ipo juu ya Man U. Arsenal haimtegemei refa yeyote kufanya mambo yakeKama ndiyo hivyo, mbona mashabiki wa Asenali wanajitutumua kuwa wako level moja na Man Utd?
Kumbe hao uliowaweka kwenye picha wote wameshinda mwaka huu? Na kama huzungumzii mwaka huu, basi unanioea tuHata kama Asenali iko level moja na Wigan, wao wameshushwa daraja juzi lakini walifanikiwa kujishindia kikombe cha FA mwaka huu.
Weeeee, weeeee! Temea mate chini, mimi sio kiruka njia. Ingekuwa tunahama hivyo Chelsea wasingekuwa na mshabiki wala mpenzi hata mmoja, manake walikaa miaka 40 bila kombe hata la kuku.
Utamu wa mke anaujua mume bana, we niache tu mwaya!
Kumbe unajua haipo level moja na Fulham, that means kuna kinachokufanya uiweke level moja na hizo zingine kwenye picha.
Umebug meeen! Arsenal haiko level moja na Man U, ipo juu ya Man U. Arsenal haimtegemei refa yeyote kufanya mambo yake
Kumbe hao uliowaweka kwenye picha wote wameshinda mwaka huu? Na kama huzungumzii mwaka huu, basi unanioea tu
Mkuu EMT, fahamu kuwa ungekuwa hapa karibu saa hizi ungekuwa umepoteza meno yote ya mbele kama tiba ya tabia yako mbaya ya wivu.
Unajua Arsenal inapendwa na kila mtu, sema moyoni mwako hujajichunguza tu ukajijua. Halafu wengine hapo kwenye hako ka-list kako corrupt wamebeba hilo kombe kwa kubahatisha tu.
Chelsea ndio timu mbovu kabisa kuokota Champions League ktk Historia ya michuano. Na kudhihirisha hilo, mambo kadhaa yalifuatia:
1. Msimu uliofuata wakatoka kwenye mzunguko
2. Kwa mara ya kwanza bingwa katika miaka 25 bingwa wa UEFA akafungwa na bingwa wa Europa kwenye Super Cup
3. Kwenye klabu bingwa ya dunia wakabamizwa na Wakorintho, je wangekumbana na Wagalatia ingekuwaje.
Kwa hiyo unaweza ukaona hapo unatuonea tu, hao wengine wanabahatisha bahatisha na vitimu vyao vibovu vya mlipuko.
Hiyo hapo rekodi yetu, waulize hao wasindikizaji wenu kama wanayo
League Champions (13) Premier League (4)
FA Cup (10)
League Cup (2)
Uefa Cup (1)
European Cup Winners Cup (1)
Ntakutumia jezi ya Wilshere uwe unavaa, itakupendeza sana
Kumbe unajua haipo level moja na Fulham, that means kuna kinachokufanya uiweke level moja na hizo zingine kwenye picha.
Umebug meeen! Arsenal haiko level moja na Man U, ipo juu ya Man U. Arsenal haimtegemei refa yeyote kufanya mambo yake
Kumbe hao uliowaweka kwenye picha wote wameshinda mwaka huu? Na kama huzungumzii mwaka huu, basi unanioea tu
Mkuu EMT, fahamu kuwa ungekuwa hapa karibu saa hizi ungekuwa umepoteza meno yote ya mbele kama tiba ya tabia yako mbaya ya wivu.]
Unajua Arsenal inapendwa na kila mtu, sema moyoni mwako hujajichunguza tu ukajijua. Halafu wengine hapo kwenye hako ka-list kako corrupt wamebeba hilo kombe kwa kubahatisha tu.
Chelsea ndio timu mbovu kabisa kuokota Champions League ktk Historia ya michuano. Na kudhihirisha hilo, mambo kadhaa yalifuatia:
1. Msimu uliofuata wakatoka kwenye mzunguko
2. Kwa mara ya kwanza bingwa katika miaka 25 bingwa wa UEFA akafungwa na bingwa wa Europa kwenye Super Cup
3. Kwenye klabu bingwa ya dunia wakabamizwa na Wakorintho, je wangekumbana na Wagalatia ingekuwaje.
Kwa hiyo unaweza ukaona hapo unatuonea tu, hao wengine wanabahatisha bahatisha na vitimu vyao vibovu vya mlipuko.
Hiyo hapo rekodi yetu, waulize hao wasindikizaji wenu kama wanayo
League Champions (13) Premier League (4)
FA Cup (10)
League Cup (2)
Uefa Cup (1)
European Cup Winners Cup (1)
Ntakutumia jezi ya Wilshere uwe unavaa, itakupendeza sana
EMT mwenzio utanifanya nipewe exile bureeeeeeeeee manake nimecheka sana mbele ya arsenal fan and he is my everything, aliconiambia utatafuta pa kulala usiku huu mweeeeh!
Mie nilisema tokea mwanzo kabisa kuwa nyoosha kidole kunako useme chochote au kucheka unless unatafuta ugomvi.
Sasa utaenda kulala wapi maskini wewe. Maana ukienda kwa wale "noisy neighbour" wako sidhani kama utalala.