mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
Katika kile ambacho tunakiona ni mafanikio makubwa kwa barcelona msimu ujao na ni moja ya mikakati ya kuchukua vikombe vyote tena msimu ujao kijana Neymar da Silva Santos Júnior tayari atatua barcelona next season na kuongeza safu ya kiungo na mashambulizi ya timu hiyo ya dunia barcelona
check hii link uone ushahidi
http://www.fcbarcelona.com/football.../neymar-deal-picked-up-by-international-press
check hii link uone ushahidi
http://www.fcbarcelona.com/football.../neymar-deal-picked-up-by-international-press
