Stars kwa jeuri gani mumfunge moroko..

Stars kwa jeuri gani mumfunge moroko..

mbona unapost upuuzi?,inamaana stars haiwezi kuwafunga morocco kwao?
kama waliwafunga hapa bongo kwanini isiwe na huko kwao?

star ya sasa si ile ya massimo,timu ilikuwa inabadilishwa kila mechi wakati wenzetu wana fest eleven ya kudumu ,wapi na wapi,weka uzalendo mbele wewe kapuku
 
Huyo mwanzisha mada ni miongoni mwa wale watu ambao wanapenda kusifia vitu vya majirani na kudharau vya kwao!

Kama STARS ikishinda utasikiwa watu wanaanza...."ooh, unajua jamaa wameotea"

Timu imebadilika sana..big up Taifa Stars..kuna mwingine kama huyo kaweka uzi kwamba STARS haiwezi kwenda Brazil..

Kuna watu wanasikitisha sana..:disapointed:
 
Huyu ni Raoia wa Kenya msihangaike naye angalieni jina tu
 
Sheeeeeeenziiiiiiiiiiiiii

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mbona unapost upuuzi?,inamaana stars haiwezi kuwafunga morocco kwao?
kama waliwafunga hapa bongo kwanini isiwe na huko kwao?

star ya sasa si ile ya massimo,timu ilikuwa inabadilishwa kila mechi wakati wenzetu wana fest eleven ya kudumu ,wapi na wapi,weka uzalendo mbele wewe kapuku

bora uliambie hilo..
 
Uzoefu unathibitisha

Stars inakwenda Brazil, sioni wa kutuzuia. Tutaishangaza dunia muda si mrefu, vijana wako vizuri. Stars inakwenda kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kushiriki fainali za kombe la dunia, ndiyo maana Manyang'au wanatuombea mabaya.
 
Back
Top Bottom