Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Kwa Babi naweza kusema mbio za sakafuni ......lakini kitendi cha Bahanunzi kupelekwa kwa mkopo Mtibwa Sugar, ni funzo kubwa kwa wachezaji wengi (of course kama wanajifunza) huyu jamaa alisota na mkewe mahsamba ya miwa kisha alipokuja mjini na kutupia tugolo sita Kagame akahama na nyumba kwenda kuishi na vimada, hata nywele akabadili rangi..matokeo yake msimu mzima akafunga goli moja tyu tena la tuta dhidi ya Simba, ona sasa yanayomkuta etui anapelekwa kwa Mkopo hukohuko Mtibwa.........yaani anarudia kwenye mashamba ya MIWA