Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
150px-Tanzania_Football_Federation.jpg

=
"Brazil inawezekana" ‘ndiyo kauli mbiu ya Taifa stars leo'

Stars lazima kieleweke leo inashuka kwenye uwanja wa Stade de Marrakech, kupambana na wenyeji wao, timu ya Taifa ya Morocco katika mchezo wa kusaka kufuzu kwa kombe la Dunia 2014.

Tanzania ipo nafasi ya 109 kwa viwango vya FIFA.

Stars wanashuka dimbani wakiwa na kumbukumbu mbaya ya kwenye uwanja huo waliponyukwa 3-1 mwaka 2011.
=
Kila la kheri Taifa Stars, Morocco inafungika
=

TBC1 inaonyesha LIVE mechi hii!

Hadi mapumziko:
Morocco 1 - 0 Tanzania

Dakika ya 52
Morocco 2 - 0 Tanzania

Dakika ya 62
Morocco 2 - 1 Tanzania

Dakika ya 80
Morocco 2 - 1 Tanzania

FULL TIME
Morocco 2 - 1 Tanzania
​
 
Mmmh, naona hiyo 'live updates' umeianzisha mapema sana, ni zaidi ya masaa 14 kabla ya mechi!
 
Tuambie basi mechi itaanza saa ngapi, channel gani itaonesha n.k
 
Mhh, mudau wewe ndio unaanza kutuletea mikosi, kabla hata jua halijakuchwa umeshafungua live updates../
 
Natumaini tutapata kiunganishi cha kuona hii mechi ya kihistoria moja kwa moja kutoka Morocco.
 
Hivi tunacheza vs Morocco au vs Gambia? Naona kuna media moja inasema tunacheza na Gambia kwao. Naomba mnisaidie. Viva JM wa Tanzania.
 
Hivi tunacheza vs Morocco au vs Gambia? Naona kuna media moja inasema tunacheza na Gambia kwao. Naomba mnisaidie. Viva JM wa Tanzania.

Gambia wanacheza na Ivory Coast
 
Gem ya leo nizaidi ya fainal kwa jinsi ilivyokua ngumu, ukizinga tia mambo mawili, kwanza hatuna history mzuri ya kuwafunga waa rabu pindi tukiwa kwenye ardhi za kwao, pili ni uzoefu wa kikosi chetu ktk mechi za kimataifa. Tumuombe mungu atuongoze tupate ushindi ktk mechi hii ya leo.
 
peneye nia pana njia pasipo na njia pana Ridhwani
 
Tukiwagonga hawa, basi akina Drogba kazi wanayo. Mungu ibariki Taifa stars.
 
wimbo wetu ni mmoja brazil brazil tunakwenda
Brazil lazima. Uwezo wa kuwafunga Morocco tulishauonyenya kwa 3-1. Nia ipo- maandalizi mazuri na mazoezi ya kutosha tumechukua bila kusahau udhamini wa nguvu wa TBL. Sababu tunayo- tunataka tufuzu kwenda kumsalimia MArcio Maximo kwao. Mungu ibariki Taifa Stars.
 
Back
Top Bottom