fainal ya kombe la kagame inafanyika usiku muda wa saa mbili na nusu kati ya vital'o ya burundi na apr ya rwanda . wasudani wameanda alaiki ya kufungia mashindano inapendeza kweli siwai kuona tamasha la kufunga mashindano toka cecafa waandae mashindano kma una sudan tv inapatikana nilesat 201 freq 11727 symb 27500 katika kutafuta mshindi wa 3 almereikh ya sudan 1 rayon sport rwanda 0