Msanii nimpendae kutoka Afrika Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii nimpendae kutoka Afrika Mashariki

Discussion in 'Sports' started by DzeFF, Sep 18, 2012.

 1. D

  DzeFF Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je, ni mwanamuziki ama msanii yupi kutoka afrika mashariki unayempenda zaidi? Toa sababu.
   
 2. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kuna msanii anaitwa nape nnauye ni noma huyo..anaweza hata akapaka upepo rangi
   
 3. D

  DzeFF Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mchoraji?
   
 4. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145

  ni con artist
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mie nampenda msanii aitwaye Jakaya Mrisho Kikwete. Napenda mavazi yake na wimbo wake maarufu wa maisha bora kwa wote. Napenda sinema yake ya Kilimo Kwanza huku nikivutiwa sana na mtindo wake wa matanuzi na kusaka umaarufu misibani. Ni msanii aliyebobea na mjasiriamali hasa nikikumbuka alivyoanzisha miradi kama EPA, Richmond na mingine mengi. Napenda staili yake ya kuigiza ambapo huwahusisha members wa familia yake hasa bi mkubwa. Pia napenda sana mipango yake ya Pwagu na Pwaguzi kuhusiana na hadhira yake. Ana mengi ya kupendwa kwayo.
   
 6. D

  DzeFF Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haha! sabasita sikujua kuwa con artist pia ni usanii. Ukitaka wasanii wengi kama hao, utawapata nigeria ama hapa kenya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. D

  DzeFF Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo jamaa kipaji anacho kweli. Kuna mwingine aitwaye yoweri museveni ame wahi toa wimbo pia uitwayo u want another rap
   
 8. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kumbe uko kenya huyo ni jamaa wa CCm, he is a hopeless politician...google him
   
 9. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,525
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Prezzo!! Reason:Ana dough za kufa mtu.
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  nimeipenda hii mkuu! sijui tulitokana wapi na ******!!
   
 13. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,357
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  MKW.ERE NI NOUMER ILE KINOUMER cacico. twajuta bibie na miaka ilobaki amalize msimu naona kama imebaki kumi!! Eti "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA" Ptuuu! Khaaaa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mie nampenda msanii rosti tamu adimu.....anajua kucheza na refa pia anarafu hata cammera haziwezi kumuona uwanjani......mpishi wa mambo matamu anakula mwenyewe na kuwapaka wengine michuzi na shombo....verse zake ni toleo lijalo kila mara anaweza kutuchagulia na kutupangia maraisi wabunge,,,spika...na watu kama hao bila ya sisi kujua wala kuwazia,....msanii kelikweli karibia mechi kuisha huwa anaomba sub na kumwambia refa amechoka na formation anayochezesha n ya kiuchwara:A S 465:
   
 15. gwandumi

  gwandumi Senior Member

  #15
  May 14, 2013
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mi nampenda msanii aitwae mzee wa upako ana hit song lake linaitwa watapambana lakini watashindwa..!
   
 16. n

  ndandawamalenja JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2013
  Joined: Nov 1, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umetisha. Basi atakuwa na kaka yake Nchemba!
   
 17. n

  ndandawamalenja JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2013
  Joined: Nov 1, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na aliyeanzisha thread atakuwa very disappointed. Sidhani kama kuna post iliyo-address post yake.
   
 18. nkowosi

  nkowosi JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2013
  Joined: May 7, 2013
  Messages: 315
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Msaanii nimpendaye kinana mwimbo wake wa waiter ndovu nyingne bwana naupenda kwel
   
 19. gwandumi

  gwandumi Senior Member

  #19
  Jul 4, 2013
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  tatizo mwanzisha uzi ye mwenyewe hajasema anampenda msanii gani na kwa sababu gani!..kwa iyo kajidissapoint mwenyewe!
   
Loading...