Chloroquine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 217
- 112
Kwa sasa Brazil wamerudi kwenye zama zao za soka na Hispania wamepotezwa leo. Brazil imekuwa bingwa wa kombe la mabara baada ya kuifunga Hispania kwa jumla ya magoli 3 yaliyofungwa na Fred (2) na Neymar (1).