Simba wanaogelea kwenye pesa, kila pahala ni pesa tu

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,308
Reaction score
8,391
Simba Oye! Rais wa Heshima Dewji Oye..Wazee wafupi wa kazi Oye! Fadlu Oye!

Simba SC inaogelea kwenye pesa msimu huu haswa upande wa kimataifa.

Hongera kwa viongozi, benchi la ufundi, wazee wafupi na warefu, wachezaji pamoja na mashabiki kwa kuhakikisha timu inaingia kwa kishindo kikuu Nusu fainali.

Sasa kwa Simba kuingia nusu fainali itajinyakulia kitita Cha Shilingi 1,996,633,410/-

Hapo wanaogelea kwenye pesa na goli pia la Mama Samia, milioni 30, na Tajiri na Rais wa heshima Mo Dewji naye katoa mpunga wa maana zaidi ya milioni 700. [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]

Hongereni wachezaji. Hakika mnaogelea kwenye pesa kipindi hiki.
 
Simba Oye! Rais wa Heshima Dewji Oye..Wazee wafupi wa kazi Oye! Fadlu Oye!

Simba SC inaogelea kwenye pesa msimu huu haswa upande wa kimataifa.

Hongera kwa viongozi, benchi la ufundi, wazee wafupi na warefu, wachezaji pamoja na mashabiki kwa kuhakikisha timu inaingia kwa kishindo kikuu Nusu fainali.

Sasa kwa Simba kuingia nusu fainali itajinyakulia kitita Cha Bilioni 1,996,633,410/-

Hapo wanaogelea kwenye pesa na goli pia la Mama Samia, milioni 30, na Tajiri na Rais wa heshima Mo Dewji naye katoa mpunga wa maana zaidi ya milioni 700. [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]

Hongereni wachezaji. Hakika mnaogelea kwenye pesa kipindi hiki.
Noma sana
 
Hao jamaa watakuwa wanaona wivu
8CB26019-E92F-49AE-A2D7-69B49E3A9B98.jpeg
 
Hiyo ni karibu na hela ya mshindi wa kwanza ambayo ni 2.6B= $1million haiwezi kufika huko kwa hiyo hatua ya semi final
 
Bilioni 1 na milioni 996 ...figure haijaeleweka...
 
Uhakika wa Simba kupata zawadi ya kitita Cha Bilioni 2 na milioni 700 kama mshindi wa pili ni asilimia kadhaa ..ila natumain tutalibeba na kudaka kitita Cha Bilioni 4 na ushee[emoji3]..@Kalpana
 
Hyo haipingwii kaka..hilo konbe litabaki msimbazi
 
Back
Top Bottom