Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 284
- 806
Ukiangalia mpira kwa mihemko utaona refa aliibeba Simba, lakini ukituliza fuvu ukaufuatilia kwa kutuliza fuvu hatua kwa hatua tukio kwa tukio, utaona wazi refa na wasaidizi wake walikuwa makini sana na mchezo wa leo pia hongera sana kamisaa wa mechi na mtunza muda. Ushindi halali