ligi kuu ya bongo vp

ligi kuu ya bongo vp

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
506
Reaction score
117
wadau vipi leo ligi kuu ya bongo hakuna mechi zilizochezwa? Kama zipo tunaomba matokeo tupo nje kidogo ya tz yetu lakin taarifa zenu muhimu sana hasa timu yetu ya wananchi na wale wenzetu wanaopepesuka,please anaejua matokeo naomba anijuze
 
Ligi kuu imesimama kupisha maandalizi ya timu ya taifa na Gambia kufuzu kombe la dunia
 
Back
Top Bottom