Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

mwenyekiti wa simba anatarajiwa kuwasili leo kutokea nje ya nchi, wanasimba wote wenye mapenzi mapema na timu yetu mnaombwa kuhudhuria ujio huu wa mwenyekiti, msafara wa kuelekea airport utaanzia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wadau nikiangalia mwenendo wa uongozi uliopo na vurugu zinazotokea katika club yetu naweza sema kuna unafiki mkubwa na ulafi wa madaraka unaoendelea katika club yetu ya simba Iweje aden rage...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Baraza la wadhamini wa klabu hiyo halitambui uamuzi huo wa kina mzee Kinesi!!Kumtimua Rage!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wana jf mwenye taarifa na kile alichoeleza rage kwa waandishi wa habari, tujuzeni
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Ndio ninachokiona kwa sasa CCM. Timu pinzani kupinga pale mahasimu wanapomfukuza kocha. Kuna walakini. Kocha huyu ni wa Simba. Arsenal tulipata ahueni Ferguson alipostaafu mbona hatukupinga.
1 Reactions
7 Replies
4K Views
AFC Leopards have been crowned champions of the Football Kenya Federation GOtv Shield after beating Gor Mahia 1-0 the final on Sunday at the Nyayo National Stadium. Peter Opiyo scored the...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni mliopo karibu na vyanzo vya habari vya uhakika kama huyu kiongozi anayelazimisha kukubalika wakati hapendwi kama amefanikiwa kuingia katika ofisi za club ya Simba kariakoo na ilisemekana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Mahmoud Zubeiry, Samora SIMBA SC imesajili wachezaji wawili kwa mpigo leo hii, kiungo mchezeshaji Awadh Juma Issa kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro na Ally Badru Ally kutoka Canal Suez ya Ligi...
0 Reactions
57 Replies
11K Views
BBC Sports(chanzo) King Carlo yupo kwenye movement kubwa na ya chinichini kuwashawishi makochwa wa club za ulaya ili kutafuta uungwaji mkono katika azimio lake la kuigomea Fifa endapo tu kama...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Julio na Kibadeni wameondolewa kazini baada ya kamati ya utendaji iliyokutana jana kufikia uamuzi kwamba wawili hao utendaji wao si sahihi. Tayari Simba imekamilisha mazungumzo na kocha...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Jana ktk kipindi cha michezo nilimsikia mzee kilomoni akishangazwa na uamuzi wa kamati ya utendaji kumsimamisha rage kwa madai kwamba hawakufuata katiba inavyosema,kwa bahati mbaya hata katiba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi katoa mpya leo kwa kutojua jina la nchi iliyocheza na Stars jana. Baada ya kwisha kwa mchezo Malinzi alitoa matokeo ya mechi hiyo ktk...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wachezaji wanaounda kikosi hicho cha Tanzania Bara ni makipa Deogratius Munishi (Yanga), Ivo Mapunda (Gor Mahia, Kenya) na Aishi Manula (Azam). Mabeki ni Erasto Nyoni (Azam), Himid Mao (Azam)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtu huyu Aden Rage Wacha nimwongezee dulu Bwana Baraka Mbolembole katika makala yake ambayo nimeisoma kupitia blog ya Shafihi Dauda kuhusu mtu huyu Rage na mikakati yake inayoshindwa. Aden...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepita mitaa ya msimbazi na kukuta makundi makubwa ya wapenzi na wanachama wa Simba wakirusha maneno ya shutuma dhidi ya viongozi waliofanya mapinduzi. Kilichonishitua zaidi ni pale walipokuwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Self-imposed chairman, Joseph Kinesi reveals that the ex-Gor Mahia tactician is expected in Tanzania on December 1 to sign a long term contract Former Gor Mahia coach Zdravko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NAIROBI, KENYA: Indeed it was a great achievement for Gor Mahia FC to win the 2013 Kenyan Premier League title after 18 years. Since they were declared champions few weeks ago, Gor Mahia have...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kudengua kupokea mkwanja toka azam tv na tff kuwakaushia,hatimaye katibu wa yanga mwalusako ameenda bodi ya ligi kuomba hela ya udhamini. Bodi ya ligi imewaambia waandike barua ili wapewe...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Mechi inaanza saa 11. Nh chanel gani itaonesha?
1 Reactions
65 Replies
9K Views
Wanajamvi tumejadili sana soka humu jamvini, weng mnachangia vzuri na kwa facts. Ila mimi binafsi namkubali mchangia mada anayeitwa TCleverly, jamaa anaandikaga michango yenye tija sana humu...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Back
Top Bottom