Bingwaman
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 548
- 288
Haijatokea katika historia ya kabumbu kwa mtu mmoja kuwapa raha mamilioni ya watu wasioipenda Manchester United duniani kote kama huyu bwana. Mashabiki wa Arsenal, Chelsea na Liverpool wanakenua si kwa sababu ya Mesut Ozil, Samuel Eto'o na Luis Suarez, bali ni kwa sababu ya huyu bwana. Kweli David Moyes ni kiboko.