Ninaomba matokeo ya Simba Vs Mtibwa

Ninaomba matokeo ya Simba Vs Mtibwa

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Jamani hivi kama tunaweza kupata matokeo ya mechi iliyochezwa Side Stars Complex Manavgat Antalya kule Uturuki inakuwaje tunashindwa kupata matokeo ya game iliyopigwa hapo Temeke, enh....wapi Masuke,Ngarna,Crashwise Mafuta ya Maweso na wengineo watujuze vitu vya Logaloga
 
Sorry, nimeweka link sio, Mpira uliisha kwa Mtibwa kushinda goli moja.
 
Last edited by a moderator:
Mtibwa Sugar have defeated Simba 1-0 in a friendly match played today at the National Stadium, Dar."
 
Ohoo....ndo ilivyokuwa kumbe? Nafikiri kidogo Logaloga atakuwa ameanza kufahamu mambo yanavyokwenda mana'ke ile game ya Bonanza na zile alizoshinda Zanzibar zilikuwa zimeanza kumfanya ajione yeye ni Vicent Del Bosque. Mi namtabiria mpk duru la 2 linakamilika atakuwa ana'park mabegi yake kurejea Kenya au Croatia kabisa.
 
hili ndilo lilikua lengo la swali lako?
Ohoo....ndo ilivyokuwa kumbe? Nafikiri kidogo Logaloga atakuwa ameanza kufahamu mambo yanavyokwenda mana'ke ile game ya Bonanza na zile alizoshinda Zanzibar zilikuwa zimeanza kumfanya ajione yeye ni Vicent Del Bosque. Mi namtabiria mpk duru la 2 linakamilika atakuwa ana'park mabegi yake kurejea Kenya au Croatia kabisa.
 
mechi ya kirafiki ni ya kujaribu wachezaji/mfumo, kufungwa ni kujua mapungufu ya timu, siyo mbaya
 
Back
Top Bottom