christano Ronaldo

christano Ronaldo

Gogoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
232
Reaction score
35
Ronaldo ana magoli mangapi kwenye ligi ya spain msimu huu.
 
afadhali umenisaidia...na bado anajiita Gogoo

Sisemi kila mtu awe mchambuzi mahiri wa mambo, ama kina fulani fulani ndio wawe waanzisha maada,ila shida yangu ni huu utitiri wa threads mbuzi zinazouliza maswali ambayo hata kasimu ka mchina kanaweza kujibu bila hisani ya google! Kengine katakurupuka huko,'' eti mama yangu ananipenda sana,naombeni ushauri"
 
afadhali hiyo na hii je...

[h=3]Yamenishinda, Mke wangu anajamba sana[/h]
 
Ningekuwa na kipaji kama cha kaka mkubwa ningemfanyia hivi

images
 
Kumbe luis suarez amefunga magoli mengi kuliko wote ktk league moja duniani?????????wenye wivu wajinyonge kweli
 
Anzisha tena uzi mwingine ukiuliza kapiga pasi ngapi msimu huu...kisha ingia mmu anzisha uzi, uliza kama ana demu!
. Hayo maneno ya kwny kanga kawaambie wasaga
Chunvi wenzio. Kapange fuleni muda wako umekaribia
 
Back
Top Bottom