leo nimefurahishwa sana na timu ya chelsea kuanza mwaka kwa style ya aina yake, hii inatabiri mwisho wake utakavyokuwa kama ilivyo imani ya wengi, tunawatakia kila la kheri katika kuitazama UEFA...
Ni kama epsodes sasa.
Baada ya Yanga sasa ni Simba,Phiri na bechi lake lote wametimliwa Simba na kesho atapewa barua na haki zake za msingi zitafuatia.
MSERBIA GORAN ambaye alishawahi...
Mashindano ya Taifa ya mpira wa miguu kwa wanawake (Taifa Cup Wanawake) yanazinduliwa rasmi Januari Mosi mwakani kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa mechi kati ya wenyeji Mwanza na...
leo nimefurahishwa sana na timu ya chelsea kuanza mwaka kwa style ya aina yake, hii inatabiri mwisho wake utakavyokuwa kama ilivyo imani ya wengi, tunawatakia kila la kheri katika kuitazama UEFA...
Timu ya West Brom Albion inayoshiriki ligi kuu ya uingereza nayo siku ya leo imesitisha mkataba na kocha Alan Irvin.
Ikumbukwe kocha huyo amedumu katka timu hiyo kwa miezi 6 tu. Katka mechi 8...
Masudi,,,, kiukweli kwa hili naamini kipindi kile ulitumika tu kwa ile kazi ya kuzunguka kila siku kwenye vyombo vya habari kuilalamikia Simba kisa kuwa nafasi ya nne huku ikiwa imecheza mechi 8...
Mzee Mengi na Manji hawa ni wafanya biashara maarufu hapa nchini kama alivo mzee Bakhresa. Ki soka Mengi na Manji wanapendelea rangi ya kijani wakati Bakhresa anapenda rangi nyekundu.
Kama...
Jamani Naomba Tujuzane Kinacho Endele Kati Ya Azam Na Yanga Uwaja Wataifa Make Sisi Wengine 2ko Vijini Atuna Hili Wala Lile. Natumai Sasa Ni Dk Ya 14 Vp Matokeo? Nani Anaonekana Kumiliki Mpira?
Kumekuwa na malalamiko kila kukicha kuhusiana na matukio ya wazi ya kubebwa yanayotoka kwa timu pinzani za Manchester united ya uingereza. Pamoja na ubora wake, Man Utd ni timu ambayo...
hii ni kwa wale mashabiki na wafuatiliaji wa ligi kuu ya soka ya italia,yani serie a.pamoja na kuibuka kwa wimbi la mashabiki wa english premier league(epl) linalochangiwa sana na promo za...
Armed with a club Chanelle Wangari swings and hits the ball, she tilts her head as she follows her shot as she teed off at the Zebula Golf Estate in South Africa.
The seven year old steadily went...
Hii ilikuwa kwenye mashindano ya soka ya vyuo ya Marekani kati ya Yale Bulldods na North Carolina Tar Heel.
Angalia hapo chini ndio ujue soka limeingia rasmi Marekani.
Michuano ya Cecafa Senior Chalenji sasa haipo tena baada ya waandaaji Ethiopia kujitoa, hivyo kukosa muandaaji mbadala.
Michuano hiyo ilitarajiwa kuanza Novemba 24 hadi Desemba 9, mwaka huu...
Taarifa niliyoipata asubuhi hii ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Yanga Bwana Beno Njovu na aliyekuwa Cashier Dada anayefahamika kwa jina la Rose wamelala lupango Central tokea jana kwa kosa la...
Awa jamaa walitabiri simba ita droo raund ya kwanza na itafungwa raund ya pilli sasa naona kazi imeanza Aveva acha kiburi kaeni na hawa watu mtoe tofauti zenu jamani
Usivae kiatu kimoja cha kushoto
Ukishuka tanguliza mguu wa kushoto
Nimewahi kufanya utafiti wa uchawi (MKUSANYA TAKWIMU) kwenye soka la Bongo na hata kwetu yapo HAYA