Happy new year chelsea

Happy new year chelsea

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,933
Reaction score
1,179
leo nimefurahishwa sana na timu ya chelsea kuanza mwaka kwa style ya aina yake, hii inatabiri mwisho wake utakavyokuwa kama ilivyo imani ya wengi, tunawatakia kila la kheri katika kuitazama UEFA msimu ujao kama ilivyokuwa kwetu Man U.
 
huko mtaani tutaishi kwa amani sana wiki hii....poleni sana Chelsea najua hamjazoea itabidi mjiandae aisee
 
Mwaka mpya wa 2015 wameuanza kwa kipigo kitakatifu cha goli 5-3..... Nadhani hii wiki itakuwa ya ongea kwa heshima mitaani, maanake wana midomo hawa!!!! hongera sana spurs, hongera zaidi kwa mtibwa suger kwa kuufanya mwaka mpya niuanze kwa furaha.
 
Yani kufungwa goli 5 ndio waangalie UEFA kama manu msimu ujao? Msumu ulipita arsenal kapigwa 5,6,7 lkn wapi UEFA mpaka sasa hilo dua la kuku
 
Back
Top Bottom