danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,523
hii ni kwa wale mashabiki na wafuatiliaji wa ligi kuu ya soka ya italia,yani serie a.pamoja na kuibuka kwa wimbi la mashabiki wa english premier league(epl) linalochangiwa sana na promo za media,najua fika kua bado tupo tunaopenda na kufuatilia ligi kuu ya soka ya italia yenye timu kongwe na kubwa zenye historia ya kipekee ulimwenguni,kama ac milan(rossoneri),juventus(bianconeri),inter milan(nerazzurri),napoli(partenopei azzurri),as roma na kadhalika ingawa media nyingi zinapromote epl.karibuni tujumuike