Yanga Vs Azam Fc

Yanga Vs Azam Fc

Kanizi

Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
38
Reaction score
6
Jamani Naomba Tujuzane Kinacho Endele Kati Ya Azam Na Yanga Uwaja Wataifa Make Sisi Wengine 2ko Vijini Atuna Hili Wala Lile. Natumai Sasa Ni Dk Ya 14 Vp Matokeo? Nani Anaonekana Kumiliki Mpira?
 
Jamani Naomba Tujuzane Kinacho Endele Kati Ya Azam Na Yanga Uwaja Wataifa Make Sisi Wengine 2ko Vijini Atuna Hili Wala Lile. Natumai Sasa Ni Dk Ya 14 Vp Matokeo? Nani Anaonekana Kumiliki Mpira?

Kuna thread tangu asubuhi tunatiririka huko. Uwe unapitia nyuzi kabla ya kuanzisha uzi.
 
Ilikua mechi pozo sana isiyo na malengo walau Yanga walikua wanapanga mashambulizi ya kustukiza (re magoli yote mawili) lakini Azam walikua waoga wa mechi na kucheza kama kondoo asiye na mchungaji

  1. 4-4-2 Ya Yanga si mbaya kwa aina ya wachezaji walionao na Salum Telela alimudu vizuri namba sita japo dogo Edo alikuwa mgeni wa mechi na kuruhusu mashambulizi mengi kupitishiwa kwake
  2. 5-4-1- ya Azam ingekuwa tamu kama wangekuwa na holding midfielder mzuri, of course najua sure boy ndiye hasa chaguo la kocha kwa fomesheni hii lkn nadhani hana bahati na mechi za Yanga kwani watu humtoa mchezoni mapema
  3. Beki ya Yanga kuanzia golini ni tatizo kidogo kwani hawaongei na ingewagharimu sana, Dida amekuwa akitegemea uwezo wake kama mtu wa mwisho badala ya team work, chengine ni kwamba hawachezi mipira ya juu (kuruka)......Dida angalia Yanga hiyo.........
  4. Individually, Maluwanda aache kucheza na jukwaa ameshakua mtu mzima kadhalika Niyo abadilike sana, Mliberia wa kawaida sana na kiukweli anahitaji mazeoezi sana ya tumbo (uzito), Big Up Msuva na Juma Abdul, kwa krosi zenu Tambwe atafunga sana, Msuva aache ubinafsi kdg, Oscar unacheza rafu za kizamani sana na nadhani unabeba sana chuma (gym) unakua physic bu not technical
  5. lastly, nadhani Yanga wakitulia na kocha watacheza kandanda zuri zaidi, ile foward icheze team work
 
Azam FC;

  1. 5-4-1- ilifanya viungo wajilundike sana na timu kufunguka kwa nadra sana
  2. fomesheni ilihitaji holding kiungo ili timu ipande yote badala ya kumuachia Kavumbagu pekee mbele,
  3. hawa madogo watawabeba sana na sijui kwa nini Kelvin Friday hakuingia
  4. Kocha alipagawa na kufanya sub za hovyo, ilitakiwa alipoingia Bocco timu ibadili fomesheni (4-4-2) lakn bado ikawa haijitambui na kuruhusu Yanga kuchezea sana mpira
  5. Individually, Kavumbagu Big Up, ulifanya mabeki wasipande sana na kuwachosha, Cheche acha ubishoo na ubinafsi, sure boy ni unazi au? hicho kitambaa ni dhamana kubwa sana kitendee haki, Wawa unatumia nguvu zaidi badala ya akili..........Brian Majwega funguka chezesha timu wewe ni play maker hapo; Kiemba naona ndiyo kwaheri soka?
 
Back
Top Bottom