Maneno yaSimba UKAWA yatatimia?

Maneno yaSimba UKAWA yatatimia?

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,210
Awa jamaa walitabiri simba ita droo raund ya kwanza na itafungwa raund ya pilli sasa naona kazi imeanza Aveva acha kiburi kaeni na hawa watu mtoe tofauti zenu jamani
 
Ushindi WA Simba ni kumfungaga Yanga tu. Tena mtani jembe.Ligi hakuna kitu
 
amam kweli kazitunayo, wacheni mawazo ya Simba UKAWA ma GT
Awa jamaa walitabiri simba ita droo raund ya kwanza na itafungwa raund ya pilli sasa naona kazi imeanza Aveva acha kiburi kaeni na hawa watu mtoe tofauti zenu jamani
 
Ushindi WA Simba ni kumfungaga Yanga tu. Tena mtani jembe.Ligi hakuna kitu
HAKUNA rAHA KAMA HIYO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

na ndiyo huzuni kuu kwa Yanga hata wakibeba kombe
 
Awa jamaa walitabiri simba ita droo raund ya kwanza na itafungwa raund ya pilli sasa naona kazi imeanza Aveva acha kiburi kaeni na hawa watu mtoe tofauti zenu jamani

Hao UKAWA walisema lini maneno hayo? Hayo ni utani wa mitaani tu. Tatizo SSC ni kuwa wachezaji wanabaguliwa ikiyegemea mchezaji kaletwa na nani. Hata wakishinda mechi, sio wote wanaoheshimiwa kuwa wamesababisha ushindi inategemea nani kaletwa na kiongozi yupi na lini. Kwa akili za kawaida nani alitarajia Tambwe atemwe achukuliwe sijui Serukuma? Au sasa hivi Owino yuko kwenye red kutemwa? Hali ikiendelea hii unatarajia nini?
 
hapa ndio maana mhe... alikiita KILABU HIKI..."MBUMBUMBU FC"
 
Back
Top Bottom