sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Timu ya West Brom Albion inayoshiriki ligi kuu ya uingereza nayo siku ya leo imesitisha mkataba na kocha Alan Irvin.
Ikumbukwe kocha huyo amedumu katka timu hiyo kwa miezi 6 tu. Katka mechi 8 zilizopita za WBA, timu imefungwa mechi 6.
Rekodi ya Alan Irvin akiwa West Brom Albion ni kama ifuatavyo;
Idadi Ya Mechi 22
Win 5
Draw 6
Kufungwa 11.
Kila la heri Alan, jirani yetu toka Burundi, Said Berahino will miss u maana umempika hadi amecheza timu ya Taifa England.
NB: Kutimua kocha katikati ya msimu kama akiboronga si kwetu tu, hata ulaya wanatimua.