They r hired to be fired.........
Patrick phiri hajatimuliwa simba na leo alikuwepo kwenye majukumu yake , phiri kama Wenger mtasubiri sana kutimuliwa kwake ndala fc, dhamira ya ubingwa iko pale pale
sijawahi kuona timu inachukua ubingwa kwa kutoa sare na kufungwa
sijawahi kuona timu inachukua ubingwa kwa kutoa sare na kufungwa
sijawahi kuona timu inachukua ubingwa kwa kutoa sare na kufungwa
Hizi taarifa nimezipata muda si mrefu je ni kweli Patrick Philli= PHIRI ametimuliwa? Yeboyebo hili swali aliwahusu= haliwahusu acheni umbea
Ni hayo tu mtani.....
Nimewasikia mwenyewee hawamtaki kipa manyika,hawamtaki kocha,wala serunkuma.yamewafika shingoni hawataki la mpiga zanaa wala mgonga kengele.mi nilisema walikamia yanga tuuu.wamechoka na ng'amuzi hii kama yule wa star TV nawashauri wahamie kwa majirani zao.
Hata yanga haiwezi kufanana na mikia fc a.k.a wachonga droo, mbona hata ninyi mlimtimua Logarusic baada ya kukung'utwa goli 3 na zesco ya zambia tena kwenye mchezo wa simba day, mchezo ambao mshindi hakuwa anapata kitu chochote sembuse ule wa nani mtani jembe ambao mshindi anapata kitu fulan???? au ndo ile nyani haoni kundule!!!!simba mnafikiri kama yanga.
yanga ipo nafasi ya pili mechi saba kufungwa mechi ya bonanza mnafukuza kocha
Hata yanga haiwezi kufanana na mikia fc a.k.a wachonga droo, mbona hata ninyi mlimtimua Logarusic baada ya kukung'utwa goli 3 na zesco ya zambia tena kwenye mchezo wa simba day, mchezo ambao mshindi hakuwa anapata kitu chochote sembuse ule wa nani mtani jembe ambao mshindi anapata kitu fulan???? au ndo ile nyani haoni kundule!!!!