Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mmelishupalia suala la Simba kucheza mechi ya fainali kwenye uwanja wa Amani utafikiri nyie ndio Berkane. Hangaikieni mambo yenu. Mnafanya hivi kwa kufahamu nguvu ya Mnyama akiwa kwa Mkapa. Oneni aibu
5 Reactions
8 Replies
553 Views
Wataalam kutoka uturuki wakikarabati pitch (eneo la kuchezea ) Benjamin Mkapa stadium
18 Reactions
49 Replies
3K Views
Mashabiki na maofisa walioambatana na kikosi cha Simba wasota kwenye Uwanja wa Ndege wa Mohammed V wakisubiri visa. Msafara huo umetua na Ndege ya Rais. Dk. Samia Suluhu Hassan. Wamesota hapo kwa...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine tena nachukua nafasi hii kulipongeza Shirikisho la Soka la Africa kwa kukataa utapeli wa serikali ya Tanzania wa kudanganya kuhusu Matengenezo ya Uwanja wa soka wa Mkapa uliopo...
9 Reactions
74 Replies
3K Views
Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe.. Simba wakacheza...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Simba chini ya Pablo imekua na mabadiliko ya haraka sana, ukiwatizama wachezaji unaona kabisa ile nguvu, ari na uchu wa kuipambania team vimerejea kwa kishindo. Ukiyatizama...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Hilo mnalionaje wakuu kijana ana kipaji sana Cha mpira kiwange chake ukimtazama vizuri bila wasiwasi ni robo ya uwezo wa Messi +nusu Ronaldinho gaucho+nusu Neymar Jr. He deserves hachoshi...
5 Reactions
70 Replies
2K Views
Mechi ikachezwe huko. Naunga mkono hoja. Visit zanzibar visit zanzibar. CAF WASHIKILIE HAPOHAPO LICHA YAJUHUDI KADHA WA KADHA KUTAKA KUHUJUMU MECHI ISICHEZWE HUKO. Sisi ni Nchi moja hakuna haja...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Haijawahi kutokea katika historia ya mpira wa Africa tovuti kutembelewa na watu wengi kwa wakati mmoja kama jana Baada ya CAF kutoa tamko la kubadili uwanja ,tovuti yao ilitembelewa na waru zaidi...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa watu wa mwanzo kupiga kelele kuhusu ukarabati wa uwanja wa Mkapa. Haya tunayoona sasa ya Simba kushindwa kutumia uwanja ni matokeo ya watu kutuona wengine tuna viherehere na...
3 Reactions
7 Replies
726 Views
Ni mambo ya hovyo sana yaani unaanza kuuza tiketi kinyemela ilihali hujapewa go ahead ya uwanja kufunguliwa Tunafahamu uwanja ulifungiwa na jumapili maafisa wa CAF walikuja kuukagua kabla...
3 Reactions
16 Replies
775 Views
Shalom wana wa Mungu. Naomba niwajuze tu Kumekuwa na UTAPELI UNAENDELEA kwenye upande wa tiketi za mechi zetu nchini derby TFF wakijua kabisa mechi haipo mgutto akiamka saa 4 akaropoka wananchi...
1 Reactions
9 Replies
596 Views
Wengi wetu tulitoka kila kona ya nchi hii kuja kushuhudia DABI kati ya Timu ya Yanga na Simba na mwisho wa siku mchezo huo haukufanyika kutokana na timu ya Simba kutofika uwanjani na Yanga walitii...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi...
6 Reactions
6 Replies
381 Views
Mbona kama swala la mabadaliko ya uwanja limewatoa mchezoni wana Simba wakati Amani complex ni uwanja mzuri tu na pia hata Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Mashabiki wa Simba wapi pia na hata...
0 Reactions
12 Replies
686 Views
Toka Jumatatu team ya watu 13 wamepambana sana kutembea sehemu mbalimbali kusimamisha hii game. Tumeenda Morogoro, Tanga, Zanzibar, Mtwara na Tabora. Matokeo ambayo tumepewa ni ya kuridhisha...
0 Reactions
3 Replies
451 Views
Nawapanga kabisa Makolo, kama kweli nyie ni Wanaume na mnajikubali basi mgomee na msuse kupeleka timu uwanjani huko Amani Abed karume (Stadium) Zanzibar kama mlivyofanya kwenye mechi ya Derby 08...
1 Reactions
1 Replies
242 Views
Simba imefanikiwa kuzima njama za kuhamishia Amani mchezo wa fainali badala ya Kwa Mkapa. CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa. Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa. Clecentius Magoli apewe...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom