Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hizi stori ziko mtaani,kuwa injinia aliyepewaga kazi ya kusimamia uwanja wa mkapa alinyongwa, Ni baada yakupiga hela fulani kwa kuchakachua BOQ. Ndumbaro na Mwana FA na katibu mkuu wake...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
Kamishna WA mechi ya final Amethinitisha kupokea BARUA Mechi ya final INACHEZWA new AMAN complex Akihojiwa kamishna amesema UWANJA UKo vizuri na WAMEANZA matayarisho kwa AJILI ya final ya tar 25...
0 Reactions
3 Replies
473 Views
Bilioni 30 zingeweza kutengeneza drainage systems za uhakika za kuzuia mvua kubwa zikinyesha ..teknolojia ambazo wangeenda hata kuchukua ujuzi hapo Zanzibar tu kua wamefanyaje wao kiwanja chao...
1 Reactions
5 Replies
324 Views
Mchezo kati ya Barcelona na Espanyol ulisimama kwa muda kufuatia tukio la ajali lililotokea nje ya uwanja, ambapo dereva wa gari jeupe aligonga kundi la mashabiki waliokuwa wamekusanyika kuelekea...
1 Reactions
7 Replies
502 Views
Kati ya watu wasiona aibu kwenye hii nchi n Ahmed Ally msemaji wa Simba Sio kwa kusikia angalien arise n shine taarifa ya habari anahojiwa anasema wanachama msiwe na shaka tumesikia fununu...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Nataka kujua tu sio kwa ubaya, yaani ilikuwaje mpaka wakatangaza viingilio na kuanza kuuza tiketi. Taarifa walipewa na nani?
0 Reactions
6 Replies
566 Views
Kwa Hali ilivyo ya kutegemea uwanja wa serikali Kwa mechi muhimu za klabu za kimataifa..ipo siku timu hizo za Kariakoo zitacheza mechi za nyumbani nchini congo au Rwanda!!!.... Ni aibu tunaambiwa...
1 Reactions
4 Replies
335 Views
Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
23 Reactions
145 Replies
6K Views
#LaLigaEASports Barcelona ndiyo mabingwa qa ligi kuu ya Hispania 2024/25. Hili ni taji lao 28. FT': Espanyol 0-2 Barcelona
0 Reactions
3 Replies
648 Views
Nawauliza wadau wa mpira au TV yoyote hapa nchini mechi hiyo, tv ipi itaoneshwa live Jumamosi, December 13 jibu la nani mkali kati ya...
3 Reactions
638 Replies
112K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuridhishwa na...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Zanzibar wapo strict sana kwa kupenda kuonekana ni nchi ya dini, maamuzi mengi hufanyika kwa msingi wa dini katika mambo yao. Uwanja wao hawawezi kuruhusu kuufusha, kuingiza mapaka, kumwaga vitu...
2 Reactions
7 Replies
505 Views
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ishirikiane na TFF na bodi zote na taasisi zinazohusika kuutafutia matumizi ya dharula uwanja wa Zanzibar hili Mechi ipigwe Lupaso kwa maana ya uwanja...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Simba tuende tu tukacheze Amaan kwani vita hii imekuwa ngumu sana. Hakuna watu wanaoumizwa na mafanikio ya Simba kama Yanga. Yanga ni wataalamu wa figisu shetani akasome. Hapo amini usiamini...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Halafu ulivyo wa hovyo unajifanya hujui lolote wakati unatumia Nafasi yako CAF ili Kuiumiza Simba SC kwa hili la Uwanja.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Salamu kwenu wadau wa mpira. Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza. Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo...
17 Reactions
92 Replies
4K Views
Nimefuatilia sakata la derby ya Simba na Yanga Tanzania 08.03. 2025, itoshe kusema Bodi ya ligi mmehujumu ligi kuu ya mtanzania na mnapaswa kuwajibika, Simba na Yanga mnapaswa kuwajibika...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Mpira wa kiafrika unaendeshwa sana na fitna za nje ya uwanja,, Mpira unachezwa nje ya uwanja kwanza kisha dk 90 zinakuwa za kukamilisha ratiba tu! Kitendo cha mechi ya Simba na berkane...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Naona watu wasiowajua CAF vizuri inawaambia serikali ifanye udanganyifu Ili mechi isichezwe New Amani Nasema kama mnataka kujichanganya mkacheze mechi Kwa Kagame iambieni serikali itie ngumu...
0 Reactions
3 Replies
362 Views
SELIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA IMESAINI MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA TAIFAA. Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya imetoa Tsh 30...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom