Naiona penalty ama redkadi ktk. Hii MECHII
Pia upande WA PEMBEN WA shaballalh kutakuwa na mtengemano mkubwa kiasi cha kwamba anaweza mtu akahisi hayuko uwanjani
KATIKATI Pia kutakuwa na...
Kwanini??, sina taaluma ya coaching ila kwa akili ya kawaida ya kimpira kama umefanikiwa kurejea mechi mbalimbali za hawa RS BERKANE utakubaliana na mimi ni wabovu mno kwenye SET PIECES/free...
Kila mtu anaamini katika Imani yake.
Hivyo Kila mtu aiombee Simba katika Imani yake.
Haya ni maono ya mtumishi ww Mungu.
https://www.facebook.com/share/r/1E2SjxMTA3/...
Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Tangu Mwaka 2000
2025: Simba / Berkane ?
2024: Zamalek SC (Misri)
2023: USM Alger (Algeria)
2022: Berkane (Morocco)
2021: Raja Club Athletic (Morocco)...
Usia wa Mohamed Mwameja kwenda kwa Simba kupitia kwa Mohamed Husein,kwamba wakaze na wacheze kwa moyo na nidhamu.
https://www.facebook.com/share/r/1CCPnYjL7P/
Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa!
Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano...
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar.
Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa...
Ilikuwa ni game ya fainali ya kombe la Caf mwaka 93 kati ya Simba Sport Club Vs Stella Abidjan ya Ivory Coast.. Tetesi zilizoenea mitaa ya jiji la Dar WS Salaam na viunga vyake ni kwamba Simba Sc...
Pamoja na ushabiki wangu wa Yanga ila ningependa tukio la kihostoria la mechi ya Simba dhidi ya RS Berkane ingechezwa Tanganyika
Hii mechi ni kubwa na Watanganyika wangefurahi kuwa sehemu ya...
Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF
Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho
Toka 2023 huu...
Huu ni uzi maalum wa kutaja wachezaji wa zamani ambao hukuwahi kuwaona wakicheza. Ukishawataja subiria wakongwe waliomuona akicheza waje wakuoe sifa zake.
Mimi sijawahi kumuona George Magere...
Simba Sc Timu inayosadikika kua na Mashabiki wengi Afrika Mashariki hasa kutokana na Mafanikio yake imekua ikitumikiwa na Wachezaji wenye viwango vya hali ya juu
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji...
President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe.
Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF...
Nikiwa kama shabiki wa Simba nimejaribu kuangalia mechi tano za Rs Berkane nimegundua jamaa wapo vizuri kwenye idara zote na huwa wanacheza kimkakati zaidi.
Rs Berkane wanaizidi Simba katika...
Kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa na utamaduni wa kutoa utabiri wangu kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga mwanzoni mwa msimu. Kwa kiasi kikubwa nakuwaga on target.
Kwa msimu unaoenda kuanza wa...
Rais wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Barani Afrika [ACA], Engineer Hersi Said amechapishwa kwenye Jarida kubwa duniani la African Leadership, kama kiongozi wa mfano kwenye mpira...
Eng Hersi Said Ndo Binadamu Pekee Kwa Sasa Ambaye Anaweza Kuwasaidia Simba Mechi Yao Ya Kombe Lao la wamama likapigwa Benjamin Mkapa Stadium[emoji23]
Badala ya zenji
NB visit Zanzibar...
Kila nikijaribu kuangalia viti vilivyopangwa,rangi zake zinakuwa kama zimepigwa jua miaka 20,nikiangalia na viwanja vingine naona kama kinachosemwa bilioni 30 ni usanii mtupu!
Uwanja umemeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.