Mashabiki, maofisa Simba wasota Uwanja wa Ndege wa Mohammed V

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,378
Reaction score
18,736
Mashabiki na maofisa walioambatana na kikosi cha Simba wasota kwenye Uwanja wa Ndege wa Mohammed V wakisubiri visa. Msafara huo umetua na Ndege ya Rais. Dk. Samia Suluhu Hassan. Wamesota hapo kwa zaidi ya saa mbili. Wachezaji na benchi la ufundi ndio walipata visa na kuelekea hotelini.

Ubalozi wa Morocco ulioko Dar es Salaam, Tanzania haukugonga visa za msafara mzima ambao ulijumuisha wachezaji, benchi la ufundi, mashabiki na viongozi. Ila walizirudisha passport na kusema watapata wakiwasili. "Tumefika hapa wanasema hawajapata barua kutoa Tanzania. Tusubiri hadi bosi wao afike"

MNafikiri kigomaa Ile

Fwateni sheria

Acheni ujinga
 
Na wewe sasa cha ajabu nini? Kila nchi ina utaratibu wake..tena wamekua waungwana kuwaruhusu timu na benchi la ufundi wakapumzike...hao wengine kwani wana haraka gani?
##Sio habari##
Roho zinawauma sana wengine wanataka kunywa hata sumu kwa mafanikio ya Simba sports club
 
Mashabiki na maofisa walioambatana na kikosi cha Simba wasota kwenye Uwanja wa Ndege wa Mohammed V wakisubiri visa. Msafara huo umetua na Ndege ya Rais. Dk. Samia Suluhu Hassan. Wamesota hapo kwa zaidi ya saa mbili. Wachezaji na benchi la ufundi ndio walipata visa na kuelekea hotelini.

Ubalozi wa Morocco ulioko Dar es Salaam, Tanzania haukugonga visa za msafara mzima ambao ulijumuisha wachezaji, benchi la ufundi, mashabiki na viongozi. Ila walizirudisha passport na kusema watapata wakiwasili. "Tumefika hapa wanasema hawajapata barua kutoa Tanzania. Tusubiri hadi bosi wao afike"

Wasuse na huko tuone.
 
Unadhani kila mtu yupo kwenye kitabu kimoja kama wewe?
Kama ni hivyo acha dharau Sasa ...🚮 Hata kaka umetembea nchi zote duniani isikupe wewe nafasi ya kudharau wengine kuwaona washamba na wewe ndio mwerevu..
 
Mashabiki na maofisa walioambatana na kikosi cha Simba wasota kwenye Uwanja wa Ndege wa Mohammed V wakisubiri visa. Msafara huo umetua na Ndege ya Rais. Dk. Samia Suluhu Hassan. Wamesota hapo kwa zaidi ya saa mbili. Wachezaji na benchi la ufundi ndio walipata visa na kuelekea hotelini.

Ubalozi wa Morocco ulioko Dar es Salaam, Tanzania haukugonga visa za msafara mzima ambao ulijumuisha wachezaji, benchi la ufundi, mashabiki na viongozi. Ila walizirudisha passport na kusema watapata wakiwasili. "Tumefika hapa wanasema hawajapata barua kutoa Tanzania. Tusubiri hadi bosi wao afike"

Hayo ya kawaida tu si issue
 
Back
Top Bottom