Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Endapo gori la ugenini likiondolewa itakuwa ni miongon mwa kukombolewa kwetu africa kwenye mpira wetu.
0 Reactions
3 Replies
288 Views
RAIS DKT. MWINYI ABEBA GHARAMA ZOTE UWANJA WA AMAAN COMPLEX MECHI YA SIMBA DHIDI YA RS BERKANE Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa Zawadi...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Hii timu imepanda Daraja msimu huu maskani yake yapo Mbeya Region na inawachezaji wazawa kibao hadi kocha mzawa yaani hii timu ni ya kikwetu kwetu zaidi. Jezi: Dhambarau tisheti na kaptura nyeupe...
1 Reactions
115 Replies
25K Views
Simba mpaka mda huu hawajajaza uwanja bado hii ni ajabu au ni karma ya kula fedha za Zulma Wataujaza ila hakuna aliyetegemea itakuwa ni kwa mwendo wa konokono
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Leo kaongeza mkataba WA kusalia Barcelona mpaka 2028
1 Reactions
28 Replies
923 Views
Bado game nne timu ya mkiani inaweza kuchukua kombe na inayoongoza kushuka daraja, point 11 zinatenga timu ya kwanza na ya mwisho ...... The Algerian Premier League title race is ridiculously...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Baada ya Arsenal kuchezea kichapo cha goli moja kwa bila dhidi ya Nottingham forest ni rasmi ubingwa wa ligi kuu uingereza msimu wa 2022/2023 unakwenda kwa manchester city ambaye anajumla ya point...
25 Reactions
282 Replies
15K Views
Wakuu, Haya sasa mmeletewa knockout ya mama huko, mkapigane kwaajili ya mama, aloo🤣🤣. Naona huu uchawa ndio umekuwa sehemu za kumuondolea stress kwenye sekeseke ukatili wa polisi na haki za...
2 Reactions
6 Replies
513 Views
Ukweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi. Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge. Kwahiyo...
2 Reactions
87 Replies
6K Views
Kama kawaida wazungu walisema , Artificial Intelligence aka akili mnemba itakuja kuchukua kazi za watu na kazi za mashine kama MRI , basi leo nikasema niondoe utata wa umri wa mchezaji pendwa wa...
23 Reactions
73 Replies
4K Views
Wazee wa Soka huyu Mwiraq Ezekiel Malongo mnamkumbuka? Alikuwa RTD miaka ya 2000. Kiukweli alituvutia vijana wengi tukaupenda mpira. Alikuwa akiitangaza mechi ya Simba na yanga nilikuwa hata...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Rais wa Heshima wa Simba SC na Mkurugenzi wa Bodi ya Simba SC MO Dewji ameeleza kutoridhishwa na maamuzi yaliyotolewa na CAF ya kudai uwanja Benjamin Mkapa haufai kuchezewa fainali ya Kombe la...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
[emoji599] 𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦 Yanga wamemuuza Aziz Ki kwenda Wydad kwa kiasi cha tsh bilion 1.8 Awali Yanga walihitaji $800,000 (tsh 2,155,763,040) ila Wydad wamechekecha na kulipa 1.8b Kwa Aziz...
13 Reactions
76 Replies
7K Views
Kocha wa zamani wa Simba, Pablo Franco ambaye anaifundisha Al-Qadsiah ya Saudi Arabia, alisema Simba inatakiwa kucheza kwa akili na siyo nguvu pekee. “Berkane ni timu yenye uzoefu mkubwa kwenye...
3 Reactions
6 Replies
762 Views
MUNGU WA BABA YANGU SUGUYE NABII HAJAWAHI KUSHINDWA ALINISHINDIA MAOMBI MECHI YA MOROCCO MUNGU HUYUHUYU WA NABII SUGUYE TUNAKWENDA KUSHINDA TENA HAPO ZNZ TEAM BERKANE HAPA TUKO KWENYE MFUNGO WA...
0 Reactions
12 Replies
656 Views
BABA AMENIFURAHISHA SANA HAHAHAAAAA BAADA YA KUMALIXA MAOMBI AKASEMA JAMANI SI MNAJUA HATA YESU ALISEMA KAMA IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIPITE KAMA N MAPENZI YAKO BASI YATIMIE HAHAHAAAA...
4 Reactions
10 Replies
774 Views
Tangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu. Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Hapo vip! Club ya yanga na umasikini wake anataka kumnyang'anya Simba mchezaji.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom