Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na...
Wakuu nimeshtuka Baada ya kuona zimebaki siku 2 kuekea marudiano ya kombe la wamama .......zandaaaani kabisa kutoka huko zenji unaambiwa wachezaji hawana morali Tena kama mwanzo Baada ya kukandwa...
Tetesi kutoka katia vyanzo vya ndani ya Klabu ya Manchester United zimedai kuwa Kocha Erik ten Hag anatarajiwa kufukuzwa kazi mara baada ya mchezo dhidi ya Manchester City katik Fainali ya Kombe...
Asilimia zaidi ya 80 wanataka Mwarabu ashinde dhidi ya huyu mtu mweusi. Mnajidanganya mtamfunga Mwarabu Zanzibar. Thubutuuuuuuuuuuuuu.
Ndani yenu wenyewe ya Simba kuna watu wanatamani Mwarabu...
Habarini,
Kama nilivyoanza hapo juu haya ndo yatakuwa matokeo ya mechi za Leo za Cafcl na Cafcc za Tarehe 4 January 2025 na kesho 5 January 2025.
(Kesho): Constantine vs Bravos (Bravos...
Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli?
Sasa mnaenda poteza hii match...
Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa...
Mashabiki wa Simba wameingizwa hasara tena za kijinga ya viingolio vyao kuporwa na wahuni wa mijini, hali hii itakoma lini na nani ataikomesha?
Baada ya mechi ya nusu finali kati ya Simba vs...
1. Katika ulimwengu wa michezo, mashabiki ndio moyo wa mchezo. Lakini je, tunalinda moyo huo au tunauua kwa utani na mizaha isiyo na mipaka?
2. Ligi yetu ya ndani inahitaji nidhamu kama ile...
Poti wangu Crescentius Magori, Msemaji Ahmed Ally, Mwenyekiti Mangungu, Meneja na Mtani wangu wa Kihaya Patrick Rweymamu, Wajumbe Salim Abdallah Mhene Try Again, Swedi Nkwabi na Dada yangu Asha...
Kutokana na changamoto za mechi kadhaa tulizozishuhudia mpaka sasa ambazo zimeleta ugumu kurudisha pesa kwa watu, ningeshauri mfumo wa N-Card uwe na uwezo wa kuruhusu watu kuuziana tiketi ndani ya...
NAMNA BODI YA LIGI ANAVYOTAKA KUMBEBESHA MSALABA WAKE YANGA - SEHEMU YA KWANZA.
Wakati Simba Sports Club imechapisha taarifa ya kugomea mchezo wa Derby walikuja na sababu zao na chini kabisa...
Yanga ni timu bora sana, tumeshindwa kufuzu robo fainali Klabu bingwa Africa sababu ya kupoteza kizembe mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya Al Hilal na baadae kufungwa ugenini na Mc Alger hivyo...
Bodi ya Ligi inamtafuta Nini Yanga, yani wamepanga mechi za yanga mwishoni mwa mwezi wa Sita , yanga anacheza Leo tarehe 13.05.25 , mechi ingine inayofuata ni tarehe 18.05.25 mechi ingine ni...
Egypt - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF
South Africa - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF
Nigeria - Timu ya Taifa nzuri, clubs hola CAF.
....and the list goes on.
Morocco - Timu ya Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.