Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Pamoja na ukweli kuwa Yanga na Simba zote zimecheza fainali ya Kombe la Shirikisho, tena na timu za Afrika ya Kaskazini, Yanga inabaki kuwa na fainali bora kuliko Simba. Yanga ilicheza fainali na...
18 Reactions
58 Replies
3K Views
Sisi kama Yanga tunasema lile shut la Aziz Ki halikuwa goli kwa sababu mpira haukugusa nyavu lakini kuna mashabiki wa Simba wanataka kutugombanisha na refa kwa kusema lilikuwa goli SIMBA...
4 Reactions
15 Replies
940 Views
Bingwa wa shirikisho hupata 2 million USD, ila cha kushangaza gharama za motivation, bahasha na nguvu kubwa aliyoitumia Bwn Kanji ili tu kuiprove wrong Young africans inafikia zaidi ya 5 million...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Taarifa zinaeleza kwamba, Kombe lingepelekwa kwanza Ikulu ya Zanzibar, ambako kungekuwa na Chakula cha jioni (tayari viti vilishapangwa). Baada ya hapo kombe lingepelekwa Ikulu Dodoma kwa ajili...
14 Reactions
27 Replies
1K Views
Mechi ya mkondo wa kwanza ya fainali ya CAF Champions League kati ya Mamelodi Sundowns na Pyramids FC itachezwa saa kumi jioni kwenye uwanja wa Loftus Versfeld. Kaa nami hapa kwa matukio ya...
6 Reactions
134 Replies
8K Views
Taarifa zinasema kuna uwezekano ALLEGRY Kuinoa Napoli huku rais wa Napoli akisema k.d.b watafanya mazungumzo naye mzabzab tim yako hii
1 Reactions
17 Replies
706 Views
Kuna yeyote anayebisha? Kama timu yako imewahi kucheza fainali yoyote ya CAF katika dimba la Mkapa, nyoosha mkono juu. Vinginevyo kaa kimya. FT aggregate 1:3 😀
1 Reactions
8 Replies
495 Views
Nimeshangazwa kama sio kusikitishwa na andiko la Naibu Waziri Kilocho nishangaza Naibu Waziri anashangaa na maamuzi ya mwamuzi , lakini katika Ligi yake ya ndani maamuzi kama hayo yamekuwa...
3 Reactions
3 Replies
546 Views
Baada ya matokeo ya 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco nimeoana wanasimba wengi wakifurahia haya matokeo, kuwa watapindua meza (Remontada) na kuwafunga Betkane kwenye mechi ya marudio kama...
18 Reactions
63 Replies
3K Views
Kwanini? 1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa...
9 Reactions
55 Replies
3K Views
RASMI [emoji599][emoji599]: Berkane kutoka Jangwani Dar es salaam imemsamehe muamuzi wa mchezo wa Jana ambae alikuwa na deni kubwa na mashabiki hao wa Berkane ya Jangwani deni ambalo aliliweka...
1 Reactions
10 Replies
687 Views
Haikuwa rahisi kuamiini YANGA imetolewa na mamelody kwa goli la dhuluma NDUGU majirani wakajanna fedhehaa kubwaaa mpambane na hali zenu Tukajipanmoyo kulalamikia lakini haikusaidia Yt SINDANO...
1 Reactions
7 Replies
390 Views
Ratiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili 1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar 2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es...
4 Reactions
5 Replies
493 Views
Habari za MDA huu. Simba SC ilifungwa jana, Mei 17, 2025, na RS Berkane kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF uliofanyika kwenye Uwanja wa Stade Municipal...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Golikipa wa Yanga Djigui Diarra ukiacha footwork yake hana tofauti yoyote ya kumzidi Ally Salim wa Simba na hata Hussein Abeli. Kuna nyakati Salim amedhihirisha kuna vitu anamzidi Diarra. Moja ya...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba...
10 Reactions
89 Replies
4K Views
Huyu mchekeshaji ana mambo ya kitoto sana. Toka afungwe zile goli mbili za kizembe imani imeshashuka sana. Baada ya kufahamu kwamba ni mchekeshaji kama kina Steve Nyerere, nimegunduwa kuna muda...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko Ngoma...
15 Reactions
71 Replies
5K Views
Kama ni kukosa sio mara ya kwanza hata mtani na yeye alikosa, alipoishia tumepafikia hakutakuwa na zile kelele za abiola cup ya miak 30 iliyipita. Tujipange kwa msimu ujao LIGI YA MABINGWA Huu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habarini, viongozi wa Simba chukueni huu ushauri msiupuuzie Mechi ya jumamosi Tarehe 17 Berkane atashinda, ila mechi ya pili iliyokuwa imepangwa kuchezwa Dar es salaam majira ya saa kumi ilikuwa...
19 Reactions
113 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…