City leo wanakibarua kumkabili bournmouth dimbani leo saa 10.kuliko na wataalamu wametabiri sare maana city wakianza gemu na hii timu ni labda wafungwe ama wasare lakin ushindi hamna.
Rais wa Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA), Aleksander Čeferin, amesema hatagombea urais wa Shirikisho la Soka la Duniani (FIFA) dhidi ya rais wa sasa, Gianni Infantino, lakini amemtaka Kiongozi...
Tulia Trust tunatarajia kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwetu kwa kuandaa Tulia Traditional Dance Festival 2026 kwa msımu wa kumi (10),
Tamasha kubwa la Ngoma za Asili litafanyika kuanzia...
Mtanange mkali Leo.
Timu pendwa Afrika Mashariki na Kati iliyo namba 9 kwenye viwango vya mpira Afrika na duniani namba 58 SIMBA SC leo itaonyesha burudani ya kufa na shoka ikiwa chini ya...
Mazungumzo ya kibiashara kati ya Manchester City na Lille kuhusu dili la kiungo fundi Ayyoub Bouaddi yamekamilika ili kiungo huyo ahamie katika klabu ya Manchester City.
Bouaddi raia wa Morocco...
Huu ni ukweli ambao ni wachache wanauona kama sio Football Video Support (FVS) basi leo hii watu wangeishia tu kulalamika kwamba jabar na duchu walistahili redcard sana sana watu wangesubiria...
Rais wa Uefa Aleksander Ceferin amesema Gianni Infantino anahitaji kukumbuka kuwa yeye ni Mzungu baada ya kuelezea mpango wa FIFA wa kuuza hisa katika Kombe la Dunia kama mbaya zaidi kuliko ule wa...
Alichosema Jamal Bakhressa kinasemwa na wengi, na huo ndio ukweli wenyewe. Ukweli huo ndio uliosababisha hata TFF kukubali kuleta waamunzi kutoka nje kuchezesha mechi za ligi, kufungia waamuzi na...
Tuliposema kuwa 'fundi Mayco' akipewa mkataba wa kudumu pale Man U timu itakuwa inapigwa mtungo mlituona vilopolopo, haya oneni sasa!
Hakika Kila klabu pale EPL itakuwa inaidinya tu hii Mantesa...
Wananchi wameamka asubuhi, Kisha wamechagua ukatili. Matumizi makubwa sana ya nguvu kumuua mbu, aliye juu ya nyeti za aliyetahiriwa bila ganzi. Pesa zipo bank? GSM zipo mfuko wa shati. Watu wa...
Tusichekane Simba SC kwa Doumbia tumepigwa na nyie Yanga SC kwa Cheketule mmepigwa na aliyemleta kwenu.
Cheketule ni yule Mshambuliaji ambaye Yanga SC wametamba sana tu kumsajili kutoka Sudan...
Baada ya Rwanda kuidhamini Aston Villa mara moja nikasema Aston Villa kwisha.
Kila sehemu PAKA akigusa ni gundu tu. Huyu jamaa ana rohho mchafu muharibu.
Alipohudhuria majuzi kuangalia mechi ya...
Hii nadhani ni record sijajua kama imewahi fikiwa hapo before. Na hii itaendelea kwa matches zote zilizobaki maana nyie Simba ndo mlitaka sana VAR sasa imekuja hii.... Lazima moto uwake.
Referee...
Hapana shaka, nguvu ya fedha ndio inaonekana imemshawishi nyota za zamani wa Yanga, Fiston Mayele, kuhamia Al Ahli Tripoli ya Libya katika dirisha kubwa la usajili linaloendelea akitokea Pyramids...
Lionel Messi wa Inter Miami amepigwa faini kwa kumpiga kofi Quinn Sullivan mchezaji wa klabu ya Philadelphia Union wakati wa mchezo ulioisha kwa sare ya 2-2 katika Mechi ya Ligi Kuu ya Soka (MLS)...
Kwa wale wapenzi wa soka la Tanzania, kauli ya “pesa iko benki” si mpya masikioni. Ni kauli ambayo inatawala vijiweni, mitandaoni na kwenye mijadala ya mashabiki pale ambapo kuna hisia kwamba timu...