Kila game ya SIMBA kuna red card

Kila game ya SIMBA kuna red card

C mlikuwa mnabebwa, ngoja tv ziendelee kuwaumbua
 
Hayo ndiyo madhara ya kuziacha hela benki, wachezaji wana hasira za kukosa posho maana siyo kwa mihemko hiyo uwanjani.
 
Back
Top Bottom