Manchester United’s Wayne Rooney offered £700,000-a-week to make Chinese Super League transfer

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,604
2,000
Klabu ya Guangzhou Evergrande Taobao na Beijing Guoan za China zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili Wayne Rooney na kumlipa £700,000 kwa wiki.

========

The England captain’s future at Old Trafford looks in increasing doubt after finding himself in and out of Jose Mourinho’s side this season, and he could land himself one final big pay day.

Rooney has been at United since 2004 and has won all there is to win at club level with the Red Devils, so may now be tempted for a lucrative switch to a less competitive league.

Rooney hasn’t had as key a role for United this season (Picture: Getty)
Oscar has just left Chelsea for Shanghai SIPG in a £60million deal, while Carlos Tevez has been linked with a similar move on wages of £615,000 per week.
 

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
8,488
2,000
Mpunga mrefu sana huo kwa level ya club kila kitu kachukua ni waqt wake sasa akauchukue mkwanja nitamkosa kweli captain kwa alichofanya kwa man u ni utumishi mkubwa mpaka kuvunja rekodi ya man u mwenzie timu ya taifa yote hayo yanaonyesha ni mchezaji wa kiwango cha juu kabisa katika utumishi wake ikiwa hivyo kila la kheri captain wangu .
 

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,060
2,000
Duh, inamaana ndani ya mwaka anakuwa na uwezo wa kununua bombadier 2, tena cash kama ankali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom