Tanzania yapanda nafasi nne juu FIFA

Super Don

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,490
2,000
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo December 22 2016 imepotoa good news kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, Tanzania leo imepokea taarifa za kupanda katika viwango vya soka vyaFIFA.

Tanzania imepanda kwa nafasi nne katika viwango vya FIFA na sasa itakuwa nafasi ya 156 kutoka nafasi ya 160 iliyokuwa mwezi uliyopita, good news hiyo inakuja baada ya Tanzania kushuka mara mbili mfululilizo.

[https://i1]
 
Guasa Amboni

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
8,055
2,000
Tuongeze juhudi zaidi mwaka 2017 tupande ngazi kwa ngazi.
Wadhani hatupendi cha kwetu ? hiyo kheri na kuongeza bidii ndio matamanio ya wengi wetu tatizo blah blah nyingi siasa nyingi hakuna mipango endelevu vipaji kuviibua sio tatizo ila kuviendeleza ndipo tunaposhindwa
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
145,636
2,000
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo December 22 2016 imepotoa good news kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, Tanzania leo imepokea taarifa za kupanda katika viwango vya soka vyaFIFA.

Tanzania imepanda kwa nafasi nne katika viwango vya FIFA na sasa itakuwa nafasi ya 156 kutoka nafasi ya 160 iliyokuwa mwezi uliyopita, good news hiyo inakuja baada ya Tanzania kushuka mara mbili mfululilizo.

[https://i1]
Kwahiyo nafasi ni kama kutaka kufufua mfu
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
15,745
2,000
Tumepandaje hizo rank nne wakati tunafungwa tu kila kukicha wametumia kigezo gani, au wametumia kigezo cha msamaha
 
ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,891
2,000
Fifa wachunguzwe,team imepandaje,imefanya nini?nhii timu ilitakiwa ishee nafasi za mwisho na kina somalia huko na afghanstan
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom